technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo
1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.
2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.
3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.
Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.
Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.
Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?
hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais. Tume sio kigezo kama ni ivyo Odinga angekuwa rais wa Kenya. Urais ni Timing.