CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.

CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!

Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.

Mh Polepole hakulivujisha Ili kama sehemu ya Story kutrend kwenye Mitandao ( NADHAN HAMJAMUELEWA POLEPOLE).

MH Polepole kalivujisha hili ,kwanza akumbukwe kwenye Historia kama SHUJAA , Pili Alitangaza Vita Halisi dhidi ya CCM , kwake AMEAMUA Kutanguliza Masilahi ya Nchi mbele badala ya UCCM .

Ni ukweli ulio wazi, Hamna namna nyingine Tena ya Polepole kua Mwanachama wa CCM, Ama wamfute Uanachama wao wenyewe, au wasimfure Uanachama, MOYONI MWA POLEPOLE KWA SASA KUMEJAZWA "UTANZANIA NA SIO UCHAMA"

Kwa MTU mwenye Akili alitegemea Suala hili Zito lichukuliwe Kwa Uzito zaidi na Vyama vya Upinzani Hususani CHADEMA.

Badala yake , CHADEMA mnalichukulia kama sehem ya story mtandaon, mnaliendesha Kimtandao mtandao, JAMBO AMBALO SI SAHIHI.

KAMA CHAMA mlipaswa kuja na PRESS CONFERENCE maalumu Kwa ajili ya kuelezea Kinagaubaga Hoja ya Kuiba Uchaguzi kupitia MFUMO na kupigilia Msumari ni kwanini mnasema NRNE .

Kitendo Cha kulichukulia Kimtandao tandao mnawapa Fursa Wahuni hawa pia Licha ya kua wanajua Polepole kasema Ukweli, Wahuni Hawa nao hawatachukua Kwa u serious wowote nao watapitia humohumo kwenye 'Story za mtandaoni tu'.

Kuita PRESS kungeonyesha kua Mmelichukua Suala hili Kwa Uzito na Kwa upekee sana na kwamba MNATAKA

1-Chama Cha Mapinduzi kijitokeE hadharani kukana Tuhuma hizo na kiwape furusa ya kwenda Kukagua Mifumo hiyo.

2-NIDA wajitokeze hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

3-INEC wajitokeE hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

4-Kuendelea kupigia misumali juu ya REFORMS na Pasipo Reforms TUTAZUIA UCHAGUZI .

N.K N.K

Ni ajabu sana Kwa Chama kikubwa kama CHADEMA, kuendelea kuzungumzia Mitandaoni JAMBO AMBALO LINAWAACHA WANANCHI NJIA PANDA na kuchukuliwa kama ni Habari tu za mitandaoni za kizushi na hazina ukweli.

CHADEMA BADILIKENI !!! . SHUKENI CHINI WANANCHI WAELEWE MAANA YA MIFUMO YA NIDA INEC NA CCM KUUNGANISHWA !!.
Gentleman,
mi nadhani pia watangaze kabisa kwamba, kuanzia sasa Polepole ndie mwenyekiti wa chadema masalia Taifa, kwasabb Tundu Lisu hawezi tena kutekeleza majukumu ya mwenyekiti wa chama kwasabb yupo korokoroni na haupo uwezekano wa kua huru tena.

waeleze wazi tu na itapndeza zaidi 🐒
 
Ni ajabu sana, Kwa Chama Kikuu kama CHADEMA , kuchukulia Kwa wepesi suala la HOJA ZA POLEPOLE KUHUSU MIFUMO YA UCHAGUZI , kiasi kwamba mnaliaxha suala hili liishie kuzungumuziwa kwenye Posts za X, IG, JF n.k.

Narudia ni AJABU na inaonyesha Idara ya Habari na Mawasiliano ya Chama, haichukulii vitu Kwa Uzito.

MNANIHUZUNISHA SANA MIMI, NA POLEPOLE NA GWAJIMA, MNATUHUZUNISHA SANA.
Chama kimesimamishwa kwa sasa, na mahakama ya ccm ulitakaje? Msijitoe akili
 
Gentleman,
mi nadhani pia watangaze kabisa kwamba, kuanzia sasa Polepole ndie mwenyekiti wa chadema masalia Taifa, kwasabb Tundu Lisu hawezi tena kutekeleza majukumu ya mwenyekiti wa chama kwasabb yupo korokoroni na haupo uwezekano wa kua huru tena.

waeleze wazi tu na itapndeza zaidi 🐒
Huwaga unaandika Kwa kutumia Makalio.
 
Kwa hali ilivyo na joto labda hiyo press wakafanyie ubalozini. CCM mtamdao inahaha kama kuku mtetea kuunusuru huu uchaguzi.
Watanganyika tupo 60% imebakia 40% tu tufanikiwe kuzuia uchaguzi huu.
 
Kwamba Kura zako utakazopiga hapo kijijini kwenu ndo unaamini zitawapeleka watu ikulu? Mwaka 2015 ulikua na umri gani? Unafahamu hizi team mbili zilizokua zinachuana sana? IT MASAKI vs IT Mlimani City?
kura zinapigwa kituoni na mawakala wanatakiwa wawepo mpaka kwenye kuhesabu --- tujikite kwenye vitu vya msingi
 
vijana wa Chadema sasa wamekua wafuasi Pole Pole, wameanza kukishutumu chama chao
 
  • Thanks
Reactions: Lax
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.

CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!

Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.

Mh Polepole hakulivujisha Ili kama sehemu ya Story kutrend kwenye Mitandao ( NADHAN HAMJAMUELEWA POLEPOLE).

MH Polepole kalivujisha hili ,kwanza akumbukwe kwenye Historia kama SHUJAA , Pili Alitangaza Vita Halisi dhidi ya CCM , kwake AMEAMUA Kutanguliza Masilahi ya Nchi mbele badala ya UCCM .

Ni ukweli ulio wazi, Hamna namna nyingine Tena ya Polepole kua Mwanachama wa CCM, Ama wamfute Uanachama wao wenyewe, au wasimfure Uanachama, MOYONI MWA POLEPOLE KWA SASA KUMEJAZWA "UTANZANIA NA SIO UCHAMA"

Kwa MTU mwenye Akili alitegemea Suala hili Zito lichukuliwe Kwa Uzito zaidi na Vyama vya Upinzani Hususani CHADEMA.

Badala yake , CHADEMA mnalichukulia kama sehem ya story mtandaon, mnaliendesha Kimtandao mtandao, JAMBO AMBALO SI SAHIHI.

KAMA CHAMA mlipaswa kuja na PRESS CONFERENCE maalumu Kwa ajili ya kuelezea Kinagaubaga Hoja ya Kuiba Uchaguzi kupitia MFUMO na kupigilia Msumari ni kwanini mnasema NRNE .

Kitendo Cha kulichukulia Kimtandao tandao mnawapa Fursa Wahuni hawa pia Licha ya kua wanajua Polepole kasema Ukweli, Wahuni Hawa nao hawatachukua Kwa u serious wowote nao watapitia humohumo kwenye 'Story za mtandaoni tu'.

Kuita PRESS kungeonyesha kua Mmelichukua Suala hili Kwa Uzito na Kwa upekee sana na kwamba MNATAKA

1-Chama Cha Mapinduzi kijitokeE hadharani kukana Tuhuma hizo na kiwape furusa ya kwenda Kukagua Mifumo hiyo.

2-NIDA wajitokeze hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

3-INEC wajitokeE hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

4-Kuendelea kupigia misumali juu ya REFORMS na Pasipo Reforms TUTAZUIA UCHAGUZI .

N.K N.K

Ni ajabu sana Kwa Chama kikubwa kama CHADEMA, kuendelea kuzungumzia Mitandaoni JAMBO AMBALO LINAWAACHA WANANCHI NJIA PANDA na kuchukuliwa kama ni Habari tu za mitandaoni za kizushi na hazina ukweli.

CHADEMA BADILIKENI !!! . SHUKENI CHINI WANANCHI WAELEWE MAANA YA MIFUMO YA NIDA INEC NA CCM KUUNGANISHWA !!.
Nilikua nakuona unajielewa kumbe hamna kitu.
Hivi uliona list ya wasimamizi wa uchaguzi, sio mliofikiri wako upande wenu? Na unadhani mabalozi wa nchi mnazotaka kualika wanaishi wapi? Una uhakika hawaoni kuwa kuna kakikundi ka drama kanakozusha taharuki kwa kigezo cha mageuzi?
Kama unataka kuungwa mkono njoo na hoja za kweli wananchi waafikiane nazo otherwise hata maandamano yenu hakuna watu wa maana wanaounga mkono kwa kuwa mnaunga unga hoja na drama nyingi.
Jipangeni vizuri, kubalini mwaka huu umepita na ajenda zenu zimefeli, period!
 
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.

CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!

Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.

Mh Polepole hakulivujisha Ili kama sehemu ya Story kutrend kwenye Mitandao ( NADHAN HAMJAMUELEWA POLEPOLE).

MH Polepole kalivujisha hili ,kwanza akumbukwe kwenye Historia kama SHUJAA , Pili Alitangaza Vita Halisi dhidi ya CCM , kwake AMEAMUA Kutanguliza Masilahi ya Nchi mbele badala ya UCCM .

Ni ukweli ulio wazi, Hamna namna nyingine Tena ya Polepole kua Mwanachama wa CCM, Ama wamfute Uanachama wao wenyewe, au wasimfure Uanachama, MOYONI MWA POLEPOLE KWA SASA KUMEJAZWA "UTANZANIA NA SIO UCHAMA"

Kwa MTU mwenye Akili alitegemea Suala hili Zito lichukuliwe Kwa Uzito zaidi na Vyama vya Upinzani Hususani CHADEMA.

Badala yake , CHADEMA mnalichukulia kama sehem ya story mtandaon, mnaliendesha Kimtandao mtandao, JAMBO AMBALO SI SAHIHI.

KAMA CHAMA mlipaswa kuja na PRESS CONFERENCE maalumu Kwa ajili ya kuelezea Kinagaubaga Hoja ya Kuiba Uchaguzi kupitia MFUMO na kupigilia Msumari ni kwanini mnasema NRNE .

Kitendo Cha kulichukulia Kimtandao tandao mnawapa Fursa Wahuni hawa pia Licha ya kua wanajua Polepole kasema Ukweli, Wahuni Hawa nao hawatachukua Kwa u serious wowote nao watapitia humohumo kwenye 'Story za mtandaoni tu'.

Kuita PRESS kungeonyesha kua Mmelichukua Suala hili Kwa Uzito na Kwa upekee sana na kwamba MNATAKA

1-Chama Cha Mapinduzi kijitokeE hadharani kukana Tuhuma hizo na kiwape furusa ya kwenda Kukagua Mifumo hiyo.

2-NIDA wajitokeze hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

3-INEC wajitokeE hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

4-Kuendelea kupigia misumali juu ya REFORMS na Pasipo Reforms TUTAZUIA UCHAGUZI .

N.K N.K

Ni ajabu sana Kwa Chama kikubwa kama CHADEMA, kuendelea kuzungumzia Mitandaoni JAMBO AMBALO LINAWAACHA WANANCHI NJIA PANDA na kuchukuliwa kama ni Habari tu za mitandaoni za kizushi na hazina ukweli.

CHADEMA BADILIKENI !!! . SHUKENI CHINI WANANCHI WAELEWE MAANA YA MIFUMO YA NIDA INEC NA CCM KUUNGANISHWA !!.
Wewe ni CCM unaishauri CDM? au wewe ni ACT sasa unaishauri CDM
 
Nahisi Chadema bila Lissu hamna kitu. Hata Heche namuona anapwaya sana kimaamuzi.
 
Kwamba Kura zako utakazopiga hapo kijijini kwenu ndo unaamini zitawapeleka watu ikulu? Mwaka 2015 ulikua na umri gani? Unafahamu hizi team mbili zilizokua zinachuana sana? IT MASAKI vs IT Mlimani City?
It mlimani na masaki walikua wanafanya kazi gani? Tallying?

kama ni tallying? Ikiwa kwenye kituo cha kupiga kura mawakala wa chama husika wamefanyiwa hujuma na kufukuzwa na polisi + uongezaji holela wa vituo , mpaka hapa wala sidhani kama wanahitaji database kutoka nida

Kama tutarefer mfano mdogo tu wa 2020, au 2024. Haya ndo mambo ya msingi ya kuyapambania, na angalau yanaweza kupambaniwa
 
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.

CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!

Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.

Mh Polepole hakulivujisha Ili kama sehemu ya Story kutrend kwenye Mitandao ( NADHAN HAMJAMUELEWA POLEPOLE).

MH Polepole kalivujisha hili ,kwanza akumbukwe kwenye Historia kama SHUJAA , Pili Alitangaza Vita Halisi dhidi ya CCM , kwake AMEAMUA Kutanguliza Masilahi ya Nchi mbele badala ya UCCM .

Ni ukweli ulio wazi, Hamna namna nyingine Tena ya Polepole kua Mwanachama wa CCM, Ama wamfute Uanachama wao wenyewe, au wasimfure Uanachama, MOYONI MWA POLEPOLE KWA SASA KUMEJAZWA "UTANZANIA NA SIO UCHAMA"

Kwa MTU mwenye Akili alitegemea Suala hili Zito lichukuliwe Kwa Uzito zaidi na Vyama vya Upinzani Hususani CHADEMA.

Badala yake , CHADEMA mnalichukulia kama sehem ya story mtandaon, mnaliendesha Kimtandao mtandao, JAMBO AMBALO SI SAHIHI.

KAMA CHAMA mlipaswa kuja na PRESS CONFERENCE maalumu Kwa ajili ya kuelezea Kinagaubaga Hoja ya Kuiba Uchaguzi kupitia MFUMO na kupigilia Msumari ni kwanini mnasema NRNE .

Kitendo Cha kulichukulia Kimtandao tandao mnawapa Fursa Wahuni hawa pia Licha ya kua wanajua Polepole kasema Ukweli, Wahuni Hawa nao hawatachukua Kwa u serious wowote nao watapitia humohumo kwenye 'Story za mtandaoni tu'.

Kuita PRESS kungeonyesha kua Mmelichukua Suala hili Kwa Uzito na Kwa upekee sana na kwamba MNATAKA

1-Chama Cha Mapinduzi kijitokeE hadharani kukana Tuhuma hizo na kiwape furusa ya kwenda Kukagua Mifumo hiyo.

2-NIDA wajitokeze hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

3-INEC wajitokeE hadharani na wawape Fursa ya kukagua Mifumo hiyo.

4-Kuendelea kupigia misumali juu ya REFORMS na Pasipo Reforms TUTAZUIA UCHAGUZI .

N.K N.K

Ni ajabu sana Kwa Chama kikubwa kama CHADEMA, kuendelea kuzungumzia Mitandaoni JAMBO AMBALO LINAWAACHA WANANCHI NJIA PANDA na kuchukuliwa kama ni Habari tu za mitandaoni za kizushi na hazina ukweli.

CHADEMA BADILIKENI !!! . SHUKENI CHINI WANANCHI WAELEWE MAANA YA MIFUMO YA NIDA INEC NA CCM KUUNGANISHWA !!.
Hivi kale ka wana mdogo pole pole una kaamini? ndo mana ccm wamekaapuza kanaongea uwongo
 
Kumbuka Gen Z hawaegemei kwa CHAMA chochote wala DINI!
 
Back
Top Bottom