Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano.
Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka.
Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!.
Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo.
Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29, wamemfunga Lissu, wanateka watu, walizuia Shughuli za Chama Mwaka mzima, na sasa wamepiga marufuku CHADEMA usifanye shughuli za kisiasa.
Ni Ukweli na Katambi anajua kua Siasa ni HAKI ya CHADEMA kwa Mujibu wa KATIBA.
Yeye Katambi kama anavyojinadi ana ushahidi, alitakiwa aliambie Jeshi lake lifungue Jarada na ushahidi kwakua anao Kesi zianze !!.
Sasa msingie kwenye mfumo, Maandamano yaitishwe NCHI NZIMA.