Hata kama unalipwa, jaribu kutumia akili hata ya kuvukia barabara. Mimi naona imetumika
Hekima plus
Busara coz yale ya
O29 yasijirudie tena. Usitukumbushe machungu.
Serikali iliamua kutoa
kafara watu wachache ili wengi wabaki.Ilipigwa hesabu kwenye
milioni 60 tukitoa
1000s bado hakuna hasara.Kwenye hao
1000s ndugu zetu walikuwemo.
Carlos The Jackal ,unalikosea kulitumia hili jina la
Carlos The Jackal.Moja ya sifa yake kubwa ilikuwa
utulivu ambayo wewe huna.
Once one of the world’s most wanted and elusive criminals, Carlos the Jackal is now on trial, accused of instigating four attacks in 1982 and 1983 that killed 11 people and injured more than 140 others.
globalnews.ca