Nimependa neno lake ... tuziangalie. Yes, tuziangalie tu na sio tuzitumie kama msingi muhimu wa maamuzi yetu.
Eti kwa vile Zambia walichemsha na Chiluba, basi wapinzani wote duniani wasichaguliwe kwa vile Chiluba (poor Chiluba) alichemsha?!!!
Kiranga, are you serious?
This is a total misrepresentation ya nilichosema.
Na kwa kweli unajitukanisha mwenyewe kwa kutumia hizi cheap shots, una insult intelligence yako na ya wasomaji wako.
Kwa hiyo, kama viongozi wa chadema wamefanya kile mwanakijiji alichosema hapo juu, basi unakubaliana na walichofanya (hii ndiyo position yako) si ndio?
Kiranga
Huwa nakuambia siku zote tatizo lako ni kuandika mambo mengi baadaye unasahau ulichoandika. Mwanzo ulikuwa unapinga Kamati kuu ya Chadema kuwachagulia wagombea, sasa unasema Higher level authority ina uwezo wa kuchagua mgombea strong kwa vile ina network pana tofauti na wanachama wa kawaida.
Sioni ni kitu gani ulikuwa unawapinga Chadema kwa kuwaweka kina Mpendazoe imetumia hiyo hiyo intelligence network unayoisema. Naona hapa tutakuwa tunazunguka palepale alimradi tunajaza page, Good Bye.
Wewe unaonaje? Unabisha mpaka unatoka mapovu kumbe huelewi hata ninachosema ?
This is exactly what you said .. you judge a chain by its weakest link.
Ninakupa nafasi ya kuweka position yako clear... bado sijaanza kubisha .... na nikianza kubisha sitaacha mpaka nitoe mapovu mkuu ... you know how I roll.
Ukifuatilia, mimi sijaanza kupingana na wewe hapa (kwenye hoja za msingi), bado nakuuliza tu maswali ili kujua unachoongelea (kutaka kuongelea) hasa ni kipi ili nianze ubishi rasmi (if any ... i doubt though).
Narudia swali langu tena,
Je unakubaliana na kile viongozi wa chadema walichofanya hapa (kwa mujibu wa habari ya mwanakijiji)?
Swali la nyongeza,
Ni nini nafasi ya wanachama wa kawaida kwenye vyama vya siasa?
All along natetea CHADEMA- uongozi wa juu- kutokuwa pressured na popular vote, kuwa na uwezo wa ku veto wagombea. Ndio msimamo wangu ina anutshell.
Sasa kama kuna mtu anakuja kutaka kutengeneza contradiction ambayo haipo kwa sababu uelewa wake ni mdogo hilo ni tatizo lake, si langu.
Right,
...
Sasa kama kuna mtu anakuja kutaka kutengeneza contradiction ambayo haipo kwa sababu uelewa wake ni mdogo hilo ni tatizo lake, si langu.
For the umpteenth time, hii hapa position yangu in a nutshell
Contardict that with anything I have said if you can.
Sasa kwa uelewa wangu mdogo, naomba unipe jibu rahisi tu kama lipo.
Katika hii thread, makosa ya chadema (uongozi wa chadema) ni yapi?
Kiranga,
Ni kweli kuwa post zako hapa zilikuwa ni kuitetea chadema (uongozi wa chadema) kwa waliyofanya hapa na sio kuwapondea?
I am waaaay past CHADEMA, nani kasema CHADEMA wamekosea ? Labd wewe kwa sababu una hiki ki mindset kwamba mimi nawasema CHADEMA, unaona kwamba nawasema CHADEMA. Ukiumwa na nyoka hata ukiona unyasi unashtuka, ukikabwa na wezi hata kivuli chako mwenyewe utakiogopa.
Unakuwa kama mtu mwenye racial complex, mtu akimpita bila kumsalimia tu, anaona "huyu racist" kumbe hata na yeye hakumsalimia.
Nani kwakwambia mimi nawasema CHADEMA hapa ? Kwa nini unafikiri mimi nawasema CHADEMA hapa?
Nimeshasema hapo juu nina toa political commentary kuhusu mfumo mzima za siasa, sasa kipi kikufanyacho ufikiri kwamba nawasema CHADEMA?
Na kwa nini ufikiri kwamba mimi n ina revolve katika sphere ya kuwasema CHADEMA ?
Post zangu ziko waay past CHADEMA, mimi naongelea general principles za kuwa na vyama vya siasa.
Nimesema hapo juu, as long as tuna vyama vya siasa, vipeni vyama hivi -hususan uongozi wa juu- meno, viwe na relevancy, uongozi uweze ku veto majina.
Ukiondoa hii veto, you might as well not have parties, uwe na popular vote ya watu wote tu bila vyama, au hata usiwe na popular vote uwe na Athenian democracy, watanzania wote tukutane Dodoma kujadili bajeti, akitoa shilingi mtanzania mmoja kati ya milioni arobaini bajeti haipiti, tuone kama itakuwa democracy au anarchy.
Naongea waaay past CHADEMA, naongea vyama vyote vya siasa, including CCM.
Sasa walio na sensitivity na CHADEMA kitu cha kwanza kuuliza "hapa umewabonda au umetetea CHADEMA"
The flow is ridic...
Mkuu nilitoka kwenda beba box na hivi sasa nimerudi..First off, uchaguzi nchini hauwapi ushindi wagombea wenye popular vote, unawapa ushindi wagombea waliopitishwa na vyama na kupata popular vote, big difference, so do not try to misrepresent that.
Ninachouliza ni kwamba, kama watu ni purist wa democracy kihivyo na wanataka watu wenye popular support bila chujio la chama, what is the point of having these parties? Kwa nini tusiviondoe vyama vyote na kuwashindanisha wagombea kama watu tu, na atakayepata popular vote awe mbunge, no chama no middleman's b.s ?
Kiranga,
Mkuu nilitoka kwenda beba box na hivi sasa nimerudi..
Nadhani ni vizuri zaidi ikiwa kila mmoja wetu ataelewa swali la mwenzake kabla hajatoa jibu na hakika mimi sikukuelewa hivyo mwanzoni. Nilichokuelewa mimi ni kwamba kila chama kinafahamu kwamba uchaguzi mkuu mshindi ni yule anayepata Popular vote..hivyo mkazo wa maeleoz yangu uliegemea mgombea kama dereva na Chama kama shirika la usafiri.
Hivbyoi sielewi unachojaribu kusema hapo kwani kila dereva anahitaji bus la kusafirishia abiria na bus ni lazima liwe registered ndani ya shirika... Na unaponiuliza mimi kwa nini watu wasisafiri tu pasipo kuhitaji shirika la bus au hata bus lenyewe mkuu wangu unanipoteza kabisa.
Kwa mfano huo huo.. ma bus mengiu tanzania yanapata abiria kutokana na uzuri wa dereva (popualr vote) na hakika huyo dsereva kupitia interview na waajiri wake pia bus analoendesha ni mali ya shirika na sio yake. hata kama dereva ni mzuri kiasi gani bado anahitajika kusajiri bus lake na yapo masharti ya usajiri ambayo yanahusika na njia anayokwenda, uimara wa bus lenyewe (safety check) na mengineyo..
kama mkuu wangu hujanielewa ktk mfano huu na ukajaribu kunambia kwamba vyama havina maana kuwepo hali unajua fika kwamba ndio utaratibu wa uchaguzi wetu leo hii. hakika wakati wa Nyerere wagom,bvea waliikuwa ni watu sio chama maanake wote walitoka CCM na kila mgombea alipewa alama ya nyumba au jembe. Mwenye shirika alikuwa CCM na huwezi kunambia sti maadam wagombea walikuwa watu binafsi basi hapa kuwepo na sababu ya kuwepo kwa CCM!.
Mkuu wangu itikadi ndio huunda Chama na kikapata wafuasi, hao wafuasi ndio huwa viongozi na wengine ni maamuma wanaochaguliwa u hata kupewa majukumu mengineyo. Na kwa kumalizia ni sawa na unananmbia kwamba maadam kila mmoja wetu anaamini Mungu basi hapakuwepo na sababu ya kuwa na dini, ukisahau kwamba dini zimetokana na wahi wa Mwenyezi Mungu ulowekwa ktk vitabu ambavyo ndivyo sote tunavifuata.
Trust me, naweza kukuletea quote zaidi ya mia moja hapa na kwingineko unakosema over and over chadema this and chadema that... sikukurupuka tu kuweka hiyo statement. Nimesoma yote uliyoandika hapa kabla sijaanza kuchangia.
Kwa sababu over and over again unazidi kusema kuwa chadema hawana principles, hawafuati kanuni zao (ambazo unapima wewe) hawajakua ili kufaa kupewa nafasi ya kuongoza etc
Unachofanya hapa over and over, ni kutaka kuonesha kuwa chadema si lolote na si chochote (which is okay with me) wakati huo huo ukipretend kuwa hufanyi hivyo (not okay with me).
Maandishi yako Kiranga.
Soma tena maandishi yako uone unachoandika hapa. Unataka niweke kila post yako na kuhilight neno chadema kila linapotokea?
Swali gani? nimekueleza kwamba Chama ni chombo na mgombea ni dereva sasa wewe unataka kuondoka kipi na ili iwaje..Hujajibu swali.
Swali gani? nimekueleza kwamba Chama ni chombo na mgombea ni dereva sasa wewe unataka kuondoka kipi na ili iwaje..
Labda nikuulize wewe inawezekana kuwa na uchaguzi wa chama pasipo mgombea?
Mkuu maelezo yako yote mazuri na upo sahihi isipokuwa pale ulipofika kuhusiana na mgombea kukijua Chama vizuri. Chama ni itikadi mkuu wangu ukizisoma na kuzielewa huna haja ya kumjua Mbowe au Zitto, wewe unaamini kile Chadema kama chama inakifundisha na umekubaliana nacho hivyo wewe unawakilisha itikadi hiyo kwa wananchi na sio Mbowe au Dr.Slaa.Huwezi kuwa na uchaguzi wa chama bila mgombea, ndiyo maana ni muhimu chama kuchukua wajibu wa ku vet mgombea ili kuhakikisha chama kina mgombea, na mgombea hawezi kugombea katika chama asichokijua vizuri.
Hence mgombea inabidi kuchukua muda kukijua chama na chama kuchukua muda kumjua mgombea, hakuna hizi business za kubadili chama last minute na kutaka kugombea kwa chama kingine.
Same time uongozi wa juu wa chama uwe na mandate ya ku veto popular ya wanachama.