Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
Nimependa neno lake ... tuziangalie. Yes, tuziangalie tu na sio tuzitumie kama msingi muhimu wa maamuzi yetu.

Eti kwa vile Zambia walichemsha na Chiluba, basi wapinzani wote duniani wasichaguliwe kwa vile Chiluba (poor Chiluba) alichemsha?!!!

Kiranga, are you serious?

This is a total misrepresentation ya nilichosema.

Na kwa kweli unajitukanisha mwenyewe kwa kutumia hizi cheap shots, una insult intelligence yako na ya wasomaji wako.
 
This is a total misrepresentation ya nilichosema.

Na kwa kweli unajitukanisha mwenyewe kwa kutumia hizi cheap shots, una insult intelligence yako na ya wasomaji wako.

This is exactly what you said .. you judge a chain by its weakest link.
 
Kwa hiyo, kama viongozi wa chadema wamefanya kile mwanakijiji alichosema hapo juu, basi unakubaliana na walichofanya (hii ndiyo position yako) si ndio?

Wewe unaonaje? Unabisha mpaka unatoka mapovu kumbe huelewi hata ninachosema ?
 
Kiranga

Huwa nakuambia siku zote tatizo lako ni kuandika mambo mengi baadaye unasahau ulichoandika. Mwanzo ulikuwa unapinga Kamati kuu ya Chadema kuwachagulia wagombea, sasa unasema Higher level authority ina uwezo wa kuchagua mgombea strong kwa vile ina network pana tofauti na wanachama wa kawaida.

Sioni ni kitu gani ulikuwa unawapinga Chadema kwa kuwaweka kina Mpendazoe imetumia hiyo hiyo intelligence network unayoisema. Naona hapa tutakuwa tunazunguka palepale alimradi tunajaza page, Good Bye.

Anapinga Chadema kwa nguvu zote,ni kwamba Chochote Chadema wanachofanya anatafuta anasema wamekosea wangefanya .Wakifanya kama anavyotaka anasahau alichosema jana anasema no wamekosea wangefanya hivi(kile alichosema jana kibaya)
 
Wewe unaonaje? Unabisha mpaka unatoka mapovu kumbe huelewi hata ninachosema ?

Ninakupa nafasi ya kuweka position yako clear... bado sijaanza kubisha .... na nikianza kubisha sitaacha mpaka nitoe mapovu mkuu ... you know how I roll.

Ukifuatilia, mimi sijaanza kupingana na wewe hapa (kwenye hoja za msingi), bado nakuuliza tu maswali ili kujua unachoongelea (kutaka kuongelea) hasa ni kipi ili nianze ubishi rasmi (if any ... i doubt though).

Narudia swali langu tena,

Je unakubaliana na kile viongozi wa chadema walichofanya hapa (kwa mujibu wa habari ya mwanakijiji)?

Swali la nyongeza,

Ni nini nafasi ya wanachama wa kawaida kwenye vyama vya siasa?
 
This is exactly what you said .. you judge a chain by its weakest link.

Right,

Which was further distorted by you. Ninachosema ni kwamba, inabidi tuelewe kwamba wapinzani wana principles kabla hawajachukua nchi. Hatuwezi kuwa swept na frenzy ya kipinzani kwamba "our goal is to remove CCM, do anything possible to remove CCM,anything else will be determined after that" na "get every drug addict that can win a parliamentary seat, we will figure out the rest after we have the seats"

Hii ni kualika disaster, tutakuja kujikuta tuna rais drug dealer kama Chiluba bila kujua kwa sababu wote tulikuwa tunataka kuiondoa CCM bila kuubana upinzani unataka kufanya nini, kwamba upinzani ulikuwa unachukua mamluki wanaoweza kushinda viti vya bunge bila kujua mamluki hao wana dedication gani na mission ya upinzani.

Watu wakasema mbona unachukulia mfano wa Zambia tu, huchukui mifano ya success stories. Niksasema you don't judge the strength of a chain by it's strongest point, you judge by the weakest link. Kwa hiyo weakest link ni hii euphoria ya kutaka kuondoa ruling party biloa examination ya opposition inataka kufanya nini. Ni lazima tujue opposition inataka kufanya nini, ni lazima tujue kwamba opposition ina principles ambazo hazipo CCM, otheriwise what is the point of removing a bunch of thughs only to replace them with a bunch of inexperienced thugs ?

Nikasema CHADEMA haionyeshi kwamba ina dedication kwa principles zake kwa kuwachukua hawa mamluki wanaohama CCM last minute bila hata kuwapima, inajionyesha iko desperate na haina wagombea.

All along natetea CHADEMA- uongozi wa juu- kutokuwa pressured na popular vote, kuwa na uwezo wa ku veto wagombea. Ndio msimamo wangu ina anutshell.

Sasa kama kuna mtu anakuja kutaka kutengeneza contradiction ambayo haipo kwa sababu uelewa wake ni mdogo hilo ni tatizo lake, si langu.
 
Ninakupa nafasi ya kuweka position yako clear... bado sijaanza kubisha .... na nikianza kubisha sitaacha mpaka nitoe mapovu mkuu ... you know how I roll.

Ukifuatilia, mimi sijaanza kupingana na wewe hapa (kwenye hoja za msingi), bado nakuuliza tu maswali ili kujua unachoongelea (kutaka kuongelea) hasa ni kipi ili nianze ubishi rasmi (if any ... i doubt though).

Narudia swali langu tena,

Je unakubaliana na kile viongozi wa chadema walichofanya hapa (kwa mujibu wa habari ya mwanakijiji)?

Swali la nyongeza,

Ni nini nafasi ya wanachama wa kawaida kwenye vyama vya siasa?

For the umpteenth time, hii hapa position yangu in a nutshell

All along natetea CHADEMA- uongozi wa juu- kutokuwa pressured na popular vote, kuwa na uwezo wa ku veto wagombea. Ndio msimamo wangu ina anutshell.

Sasa kama kuna mtu anakuja kutaka kutengeneza contradiction ambayo haipo kwa sababu uelewa wake ni mdogo hilo ni tatizo lake, si langu
.

Contardict that with anything I have said if you can.
 
Right,

...

Sasa kama kuna mtu anakuja kutaka kutengeneza contradiction ambayo haipo kwa sababu uelewa wake ni mdogo hilo ni tatizo lake, si langu.

Sasa kwa uelewa wangu mdogo, naomba unipe jibu rahisi tu kama lipo.

Katika hii thread, makosa ya chadema (uongozi wa chadema) ni yapi?
 
For the umpteenth time, hii hapa position yangu in a nutshell

Contardict that with anything I have said if you can.

Kiranga,

Ni kweli kuwa post zako hapa zilikuwa ni kuitetea chadema (uongozi wa chadema) kwa waliyofanya hapa na sio kuwapondea?
 
Sasa kwa uelewa wangu mdogo, naomba unipe jibu rahisi tu kama lipo.

Katika hii thread, makosa ya chadema (uongozi wa chadema) ni yapi?

I am waaaay past CHADEMA, nani kasema CHADEMA wamekosea ? Labd wewe kwa sababu una hiki ki mindset kwamba mimi nawasema CHADEMA, unaona kwamba nawasema CHADEMA. Ukiumwa na nyoka hata ukiona unyasi unashtuka, ukikabwa na wezi hata kivuli chako mwenyewe utakiogopa.

Unakuwa kama mtu mwenye racial complex, mtu akimpita bila kumsalimia tu, anaona "huyu racist" kumbe hata na yeye hakumsalimia.

Nani kwakwambia mimi nawasema CHADEMA hapa ? Kwa nini unafikiri mimi nawasema CHADEMA hapa?

Nimeshasema hapo juu nina toa political commentary kuhusu mfumo mzima za siasa, sasa kipi kikufanyacho ufikiri kwamba nawasema CHADEMA?

Na kwa nini ufikiri kwamba mimi n ina revolve katika sphere ya kuwasema CHADEMA ?
 
Kiranga,

Ni kweli kuwa post zako hapa zilikuwa ni kuitetea chadema (uongozi wa chadema) kwa waliyofanya hapa na sio kuwapondea?

Post zangu ziko waay past CHADEMA, mimi naongelea general principles za kuwa na vyama vya siasa.

Nimesema hapo juu, as long as tuna vyama vya siasa, vipeni vyama hivi -hususan uongozi wa juu- meno, viwe na relevancy, uongozi uweze ku veto majina.

Ukiondoa hii veto, you might as well not have parties, uwe na popular vote ya watu wote tu bila vyama, au hata usiwe na popular vote uwe na Athenian democracy, watanzania wote tukutane Dodoma kujadili bajeti, akitoa shilingi mtanzania mmoja kati ya milioni arobaini bajeti haipiti, tuone kama itakuwa democracy au anarchy.

Naongea waaay past CHADEMA, naongea vyama vyote vya siasa, including CCM.

Sasa walio na sensitivity na CHADEMA kitu cha kwanza kuuliza "hapa umewabonda au umetetea CHADEMA"

The flow is ridic...
 
I am waaaay past CHADEMA, nani kasema CHADEMA wamekosea ? Labd wewe kwa sababu una hiki ki mindset kwamba mimi nawasema CHADEMA, unaona kwamba nawasema CHADEMA. Ukiumwa na nyoka hata ukiona unyasi unashtuka, ukikabwa na wezi hata kivuli chako mwenyewe utakiogopa.

Trust me, naweza kukuletea quote zaidi ya mia moja hapa na kwingineko unakosema over and over chadema this and chadema that... sikukurupuka tu kuweka hiyo statement. Nimesoma yote uliyoandika hapa kabla sijaanza kuchangia.

Unakuwa kama mtu mwenye racial complex, mtu akimpita bila kumsalimia tu, anaona "huyu racist" kumbe hata na yeye hakumsalimia.

Nani kwakwambia mimi nawasema CHADEMA hapa ? Kwa nini unafikiri mimi nawasema CHADEMA hapa?

Kwa sababu over and over again unazidi kusema kuwa chadema hawana principles, hawafuati kanuni zao (ambazo unapima wewe) hawajakua ili kufaa kupewa nafasi ya kuongoza etc

Unachofanya hapa over and over, ni kutaka kuonesha kuwa chadema si lolote na si chochote (which is okay with me) wakati huo huo ukipretend kuwa hufanyi hivyo (not okay with me).

Nimeshasema hapo juu nina toa political commentary kuhusu mfumo mzima za siasa, sasa kipi kikufanyacho ufikiri kwamba nawasema CHADEMA?

Na kwa nini ufikiri kwamba mimi n ina revolve katika sphere ya kuwasema CHADEMA ?

Maandishi yako Kiranga.

Soma tena maandishi yako uone unachoandika hapa. Unataka niweke kila post yako na kuhilight neno chadema kila linapotokea?
 
Post zangu ziko waay past CHADEMA, mimi naongelea general principles za kuwa na vyama vya siasa.

Soma tena ulichoandika hapa na kwenye threads za Shibuda, Regia, Nape, etc

Huongelei tu chadema walivyochemsha, bali pia namna walivyo beyond repair.

Nimesema hapo juu, as long as tuna vyama vya siasa, vipeni vyama hivi -hususan uongozi wa juu- meno, viwe na relevancy, uongozi uweze ku veto majina.

Ukiondoa hii veto, you might as well not have parties, uwe na popular vote ya watu wote tu bila vyama, au hata usiwe na popular vote uwe na Athenian democracy, watanzania wote tukutane Dodoma kujadili bajeti, akitoa shilingi mtanzania mmoja kati ya milioni arobaini bajeti haipiti, tuone kama itakuwa democracy au anarchy.

Hii ni argument nzuri ... tatizo lake ni kuwa, unataka tu ifanye kazi kwenye kukata majina ya wanachama. Kwenye kukubali wanachama wa ccm (kama Shibuda na wenzake) hutaki hiyo power ya viongozi itumike.

Yaani kama viongozi hao kwa hekima zao wanaona kuwa Shibuda anafaa, kosa lao ni lipi?

Naongea waaay past CHADEMA, naongea vyama vyote vya siasa, including CCM.

Sasa walio na sensitivity na CHADEMA kitu cha kwanza kuuliza "hapa umewabonda au umetetea CHADEMA"

The flow is ridic...

Ingekuwa yote uliyoongea kuhusu CHADEMA uliyasema last year, basi ningekupa pass kwenye hili. Haya ya wewe kuwa waaaay past chadema ni nia tu, vitendo vyako (maandishi yako ) yanathibitsha kitu tofauti kabisaaaaaaa.
 
Kiranga,

First off, uchaguzi nchini hauwapi ushindi wagombea wenye popular vote, unawapa ushindi wagombea waliopitishwa na vyama na kupata popular vote, big difference, so do not try to misrepresent that.

Ninachouliza ni kwamba, kama watu ni purist wa democracy kihivyo na wanataka watu wenye popular support bila chujio la chama, what is the point of having these parties? Kwa nini tusiviondoe vyama vyote na kuwashindanisha wagombea kama watu tu, na atakayepata popular vote awe mbunge, no chama no middleman's b.s ?
Mkuu nilitoka kwenda beba box na hivi sasa nimerudi..
Nadhani ni vizuri zaidi ikiwa kila mmoja wetu ataelewa swali la mwenzake kabla hajatoa jibu na hakika mimi sikukuelewa hivyo mwanzoni. Nilichokuelewa mimi ni kwamba kila chama kinafahamu kwamba uchaguzi mkuu mshindi ni yule anayepata Popular vote..hivyo mkazo wa maeleoz yangu uliegemea mgombea kama dereva na Chama kama shirika la usafiri.
Hivyo sielewi unachojaribu kusema hapo kwani kila dereva anahitaji bus la kusafirishia abiria na bus ni lazima liwe registered ndani ya shirika... Na unaponiuliza mimi kwa nini watu wasisafiri tu pasipo kuhitaji shirika la bus au hata bus lenyewe mkuu wangu unanipoteza kabisa.

Kwa mfano huo huo.. ma bus mengi Tanzania yanapata abiria kutokana na uzuri wa dereva (popualr vote) ambaye kachaguliwa na shirika (chama) kuliendesha na pia wapo watu wanavutiwa na shirika lenyewe pasipo kujali dereva..
Na hakika kila dereva kupitia interview na waajiri wake pia bus analoendesha ni mali ya shirika na sio yake. Hata kama dereva ni mzuri kiasi gani na anao uwezo wa kununua bus lake mwenyewe, bado anahitajika kusajiri bus lake na yapo masharti ya usajiri ambayo yanahusika shirika lenyewe to be registered, kisha njia anayokwenda, uimara wa bus lenyewe (safety check) na mengineyo mengi..

Kama mkuu wangu hujanielewa ktk mfano huu na ukajaribu kunambia kwamba vyama havina maana kuwepo hali unajua fika kwamba ndio utaratibu wa uchaguzi wetu leo hii. hakika wakati wa Nyerere wagom,bvea waliikuwa ni watu sio chama maanake wote walitoka CCM na kila mgombea alipewa alama ya nyumba au jembe. Mwenye shirika alikuwa CCM na huwezi kunambia sti maadam wagombea walikuwa watu binafsi basi hapa kuwepo na sababu ya kuwepo kwa CCM!.

Mkuu wangu itikadi ndio huunda Chama na kikapata wafuasi, hao wafuasi ndio huwa viongozi na wengine ni maamuma wanaochaguliwa u hata kupewa majukumu mengineyo. Na kwa kumalizia ni sawa na unananmbia kwamba maadam kila mmoja wetu anaamini Mungu basi hapakuwepo na sababu ya kuwa na dini, ukisahau kwamba dini zimetokana na wahi wa Mwenyezi Mungu ulowekwa ktk vitabu ambavyo ndivyo sote tunavifuata.
Nina hakika Chadema sii wajinga hivyo, hawa jamaa wamepitiwa file zao na kuonekana ni madereva wazuri ambao pengine wanakuja na wateja wao kama wale wasusi wa kizaire hapo Bongo. Tuwape support Chadema badala ya kutafuta makosa hali sisi wenyewe hatuna majibu sahihi.
 
Kiranga,

Mkuu nilitoka kwenda beba box na hivi sasa nimerudi..
Nadhani ni vizuri zaidi ikiwa kila mmoja wetu ataelewa swali la mwenzake kabla hajatoa jibu na hakika mimi sikukuelewa hivyo mwanzoni. Nilichokuelewa mimi ni kwamba kila chama kinafahamu kwamba uchaguzi mkuu mshindi ni yule anayepata Popular vote..hivyo mkazo wa maeleoz yangu uliegemea mgombea kama dereva na Chama kama shirika la usafiri.
Hivbyoi sielewi unachojaribu kusema hapo kwani kila dereva anahitaji bus la kusafirishia abiria na bus ni lazima liwe registered ndani ya shirika... Na unaponiuliza mimi kwa nini watu wasisafiri tu pasipo kuhitaji shirika la bus au hata bus lenyewe mkuu wangu unanipoteza kabisa.

Kwa mfano huo huo.. ma bus mengiu tanzania yanapata abiria kutokana na uzuri wa dereva (popualr vote) na hakika huyo dsereva kupitia interview na waajiri wake pia bus analoendesha ni mali ya shirika na sio yake. hata kama dereva ni mzuri kiasi gani bado anahitajika kusajiri bus lake na yapo masharti ya usajiri ambayo yanahusika na njia anayokwenda, uimara wa bus lenyewe (safety check) na mengineyo..

kama mkuu wangu hujanielewa ktk mfano huu na ukajaribu kunambia kwamba vyama havina maana kuwepo hali unajua fika kwamba ndio utaratibu wa uchaguzi wetu leo hii. hakika wakati wa Nyerere wagom,bvea waliikuwa ni watu sio chama maanake wote walitoka CCM na kila mgombea alipewa alama ya nyumba au jembe. Mwenye shirika alikuwa CCM na huwezi kunambia sti maadam wagombea walikuwa watu binafsi basi hapa kuwepo na sababu ya kuwepo kwa CCM!.
Mkuu wangu itikadi ndio huunda Chama na kikapata wafuasi, hao wafuasi ndio huwa viongozi na wengine ni maamuma wanaochaguliwa u hata kupewa majukumu mengineyo. Na kwa kumalizia ni sawa na unananmbia kwamba maadam kila mmoja wetu anaamini Mungu basi hapakuwepo na sababu ya kuwa na dini, ukisahau kwamba dini zimetokana na wahi wa Mwenyezi Mungu ulowekwa ktk vitabu ambavyo ndivyo sote tunavifuata.

Hujajibu swali.
 
Trust me, naweza kukuletea quote zaidi ya mia moja hapa na kwingineko unakosema over and over chadema this and chadema that... sikukurupuka tu kuweka hiyo statement. Nimesoma yote uliyoandika hapa kabla sijaanza kuchangia.

Kwa sababu over and over again unazidi kusema kuwa chadema hawana principles, hawafuati kanuni zao (ambazo unapima wewe) hawajakua ili kufaa kupewa nafasi ya kuongoza etc

Unachofanya hapa over and over, ni kutaka kuonesha kuwa chadema si lolote na si chochote (which is okay with me) wakati huo huo ukipretend kuwa hufanyi hivyo (not okay with me).

Maandishi yako Kiranga.

Soma tena maandishi yako uone unachoandika hapa. Unataka niweke kila post yako na kuhilight neno chadema kila linapotokea?

Inaonekana.

1. Huelewi mtu anapoongelea siasa nzima za Tanzania na kutumia CHADEMA kama case in point kwa sababu CHADEMA ndiyo "hopefuls" wa upinzani, unaona kwamba "anaongelea CHADEMA, anawasema CHADEMA"

2. Ninapokiua CHADEMA nafanya hivyo kwa sababu mimi naua uzembe popote pale, na wala si kwa CHADEMA specifically, mbona naua uzembe wa CCM kila siku. Sasa ninapokataa kwamba "sijawabamiza CHADEMA" ni kweli, kwa sababu mimi nabamiza mediocrity popote ninapoiona, sasa kama wewe una interpret hii kwamba nawabamiza CHADEMA kwa sababu uko overly sensitive na CHADEMA, fine. Trust me nikitaka kuanza kuwabamiza CHADEMA deliberately utamtaka Invisible anifungie humu na kuanza kusema nalipwa na CCM.

3. Huelewi pia kwamba, kutetea uongozi wa juu wa chama kuwa na autonomy ya ku veto popular vote hakuna contradiction yoyote na kupendekeza uongozi wa juu usichukue watu kutoka vyama vingine by fiat na kutaka wataka ubunge hawa wachujwe na uongozi wa juu, if anything nilichosema ni kwamba uongozi wa juu upewe muda zaidi kuwachunguza hawa mamluki, no conflict at all with my main principle ya kwamba uongozi wa juu upewe madate ya ku veto popular support.
 
Hujajibu swali.
Swali gani? nimekueleza kwamba Chama ni chombo na mgombea ni dereva sasa wewe unataka kuondoka kipi na ili iwaje..
Labda nikuulize wewe inawezekana kuwa na uchaguzi wa chama pasipo mgombea?
 
Swali gani? nimekueleza kwamba Chama ni chombo na mgombea ni dereva sasa wewe unataka kuondoka kipi na ili iwaje..
Labda nikuulize wewe inawezekana kuwa na uchaguzi wa chama pasipo mgombea?

Huwezi kuwa na uchaguzi wa chama bila mgombea, ndiyo maana ni muhimu chama kuchukua wajibu wa ku vet mgombea ili kuhakikisha chama kina mgombea, na mgombea hawezi kugombea katika chama asichokijua vizuri.

Hence mgombea inabidi kuchukua muda kukijua chama na chama kuchukua muda kumjua mgombea, hakuna hizi business za kubadili chama last minute na kutaka kugombea kwa chama kingine.

Same time uongozi wa juu wa chama uwe na mandate ya ku veto popular ya wanachama.
 
Mkuu maelezo yako yote mazuri na upo sahihi isipokuwa pale ulipofika kuhusiana na mgombea kukijua Chama vizuri. Chama ni itikadi mkuu wangu ukizisoma na kuzielewa huna haja ya kumjua Mbowe au Zitto, wewe unaamini kile Chadema kama chama inakifundisha na umekubaliana nacho hivyo wewe unawakilisha itikadi hiyo kwa wananchi na sio Mbowe au Dr.Slaa.

Mgombea hana sababu wala haja ya kukijua chama kwani Chama ni Itikadi na sio vongozi au vichwa vya waliokuwepo. kama nilivyokupa mifano ya awali ni kwamba ikiwa chama kinamhitaji msemaji mkuu na ikatokea mtu mwenye uwezo huo na anazifahamu vizuri sera na ilani za chama mtu huyu anaweza kabisa kusimama kwa niaba ya chama. Kwa mfano rais anaweza kuwa na msemaji wake mkuu ambaye sii mwanachama wa muda mrefu isipokuwa ana uwezo wa kugongea. Kumbuka hapa tunazungumzia vitu viwili. 1. Ubunge au Udiwani ambao sii uongozi wa chama na 2. Uongozi wa chama chenyewe.

Kweli kabisa nakubaliana nawe kwamba huwezi kumpa madaraka mgeni lakini ya kuongoza Chama (na sio kuwakilisha wananchi) kama vile Chadema wamwondoe Mbowe na kumweka Mpendazoe. Labda tu iwe kwamba Chadema wamebadilisha itikadi yao na kuikubali zaidi itikadi mpya ambayo Mpendazoe ana ufahamu mkubwa na imekubalika.

Lakini ktk Ubunge na Udiwani watu wanahama vyama na kupewa nafasi ya kugombea hata kama ametoka Republican na kujiunga na Democtratic. Kifupi wapinzani wote wa hata hizo itikadi hutoka chama cha kwanza nakuunda kingine kwa kutokubalaiana na itikadi iliyopo. Si kutokubaliana na viongozi waliopo..

Kama sikosei ni majuzi tu Chama cha Democratic kilimsimamisha mgombea toka Republican bila hata ya kuchukua muda mrefu kufikia kumwamini kama unavyotaka wewe. Sema tu ipo hatari kubwa kwa nchi zetu na siasa zetu za Unafiki kwa sababu wabunge wetu wengi hawana imani yoyote ile isipokuwa kuchumia tumbo na maswala mengi wanatumia logic zao kuliko itikadi na ndio maana tunaona mwongozo wa chama haufanani namatendo yao.

Naomba unielewe kuwa sisemi kwamba Chadema hawana makosa au wanavyofanya ni sawa kabisa pasipo hata kuwa makini na watu hawa ila nachojaribu kujenga hoja yangu ni kwamba mtu anaweza kuwa mgombea wa ubunge au udiwani pasipo kuwa mwenyeji wa chama hicho kwa muda mrefu. haihusiani na uaminifu wake kwa chama kwani wapo wengi tu waliokaa chama miaka kibao na leo hii ni wachafu kuliko hao wageni. kama vile ktk dini unaweza kukuta mtu alobatizwa jana akaishika dini kuliko yule alozaliwa ktk Ukristu.

Hivyo mkuu wangu, swala sio chama kumuamini huyu mgombea kwani Mbunge hana siri za chama zaidi ya yeye kuwa mwakilishi wa wananchi kwa niaba ya chama. Na ndio maana nikakupa mfano wa dereva ambaye yeye anajua zaidi kazi yake ya udereva kuliko kuongoza kampuni jambo ambalo lina mtihani wake tofauti na ule wa kumtafuta dereva.

Kwa hiyo kama nilikuelewa vizuri, wewe ulitilia mashaka Chadema kuwakaribisha hawa jamaa na kuwapa nafasi za kugombea Ubunge na pengine hata Udiwani. kweli ipo haja kubwa ya kuangalia watu hawa lakini umakini wenyewe unaishia katika uwezo wa hawa watu ktk nafasi hizo na kitakachozingatiwa zaidi ni kuhusiana na kukabidhiwa uwezo wa kuwawakilisha WANANCHI na sio CHAMA kwa dhamana ya chama tofauti na wale waliopo ktk Secretariet ya Chama ambao ni wawakilishi wa CHAMA kwa WANANCHI.
 
I agree with you MM...

Ndiyo maana huwa nasema CHADEMA wamefanya nini ili wastahili dhamana ya kupewa Taifa..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom