Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
Ukinifuatilia vizuri utajua sipendi mamluki, na ninacho advocate ni uongozi wa juu kuweza hata ku veto mtu kama Mpendazoe hata kama angepata popular support ya wanachama kwenye primaries (ambayo hajapata by the way).

This way, uongozi wa juu ukiona mtu kama Regia ni a ticking timebomb, uwe na uhuru wa kuondoa jina lake, uongozi wa juu usilazimishwe na popular support ndani ya chama. What is leadership if one does not have the actual mandate to lead ? What is a party if the party members can't trust it's leadership to look out for it's best interests?

Such party members are better off without a party at all like Kiranga.

Wewe hauna msimamo na kama upo bado hujauweka wazi.
 
Wewe hauna msimamo na kama upo bado hujauweka wazi.

Mtu ambaye hawezi kusoma siwezi kumsaidia zaidi ya hapo, I mean it is not like I am expousing some Hegelian dialectics on underwater 3D chess while swimming with the sharks without being eaten alive in a wormhole rupturing the spacetime continuum into the eleventh spatial dimension of string theory and bypassing nearby naked singularities while the fabric of space is branching out into timeless quantum multiverses by the employment of action at a distance spookiness.
 
You are absolutely right. You are doing none of 'em

You are just doing a hack job for chama cha mafisadi (CCM) while pretending to help upinzani
 
You are absolutely right. You are doing none of 'em

You are just doing a hack job for chama cha mafisadi (CCM) while pretending to help upinzani

Hahaha, oldest trick in the book, us against them, one track mind, incapable of any more dimensionality.
 
Miminimeshajaza fomu yangu vizuri kabisa,natarjia kuirudisha leo muda mfupi kuanzia sasa.Namsubiri papaa Mteketa(Mgombea wa CCM) nione mbwembwe zake halfu mimi narudisha kwa mapozi kabisa..

Habari ndio hiyo..
Kila la heri, Chama ni mkusanyiko wa watu wa aina na tabia mbalimbali, migongano na migogoro ni jambo la kawaida.
 
mndebile

Huyo Nyani Ngabu tayari ana negatives na Chadema whatever move itakayofanyika ndiyo maana hata kabla ya kujua nini kinaendelea ameshatoa conclusion, nimeanza ku query kama kweli huyu ni lecturer wa chuo maana mara nyingi decision zake siyo decisive.
usishangae sana vyuo vyetu vina malecturer wengi wasiyo na uwezo wa kutafiti juu ya nini anakiona,,, hahahaaaaa samahani lakini
 
jamani hebu tuvute pumzi kidogo as say "oooom!!!".. Ila napenda watu wanaopigania kanuni kweli!
 
Baada ya kumsoma Regia, hakika nashindwa kuelewa kabisa kile kinachoendelea na pengine sikuelewa uzito wa mada hii toka mwanzo. My take..Regia ni mtu apendaye kusema ukweli na sii mnafiki. Sidhani kama ametumia emotions hata kidogo pamoja na kwamba nimeona watu hapa wakimjaribu kumsiriba.

Wakuu zangu naijua JF vizuri sana kwamba wapo watu wa makundi na hawa hujua wapi penye kidonda wakandamize. na hali hii nimeiona kwa vyama vyote nchini iwe CCM,Chadema, CUF au hata TLP kwamba wote hawa wanashindwa kuondoa makundi baina yao na huweka usiri mkubwa ktk maamuzi yanayohusiana na wanachama wake.

hali ya Regia sii ya kwanza niliiona wakati wa Zitto akitukanwa matusi kibao kwa sababu tu alimtetea yule kijana wake na pengine kugombea kiti cha Uenyekiti. Na nilipojaribu kufuatilia swala zima niligundua kwamba Mbowe na Zitto hawakuwa na mgogoro wa aina yeyote zaidi ya wapambe fulani wenye matatizo na Zitto au Mbowe kuangusha makombora yao hapa JF ili mradi ionekane kwamba Mbowe na Zitto sii viongozi imara isipokuwa kila mmoja wao ana matatizo makubwa.

sasa naposoma maelezo mengi hapa JF nawaona tena wapambe wakiingia na nguvu mpya. Kwanza sikuelewa kwa nini watu walimfuata sana regia baada ya kujitokeza. Akiwa GenderSensitive alilaumiwa kwa kutojitokeza na kusema wazi yeye anagombea jimbo gani lakini alipojitokeza tu ndio ikawa kosa kubwa zaidi..Akapimwa elimu yake, maelezo yake na kutolewa makosa hata yasiyohusu kabisa leo naona tena Regia yule yule akifuatwa hadi uvunguni as if yote haya yalikuwa yamepangwa.

Wakuu zangu, na hasa viongozi wa Chadema kuweni wakweli na wazi hasa inapofikia maswala magumu kama haya. Kama Regia ameshinda kura za maoni za wananchama wa Chadema lakini imeonekana hana nguvu ktk jimbo lake isipokuwa mgombea fulani basi ahusishwe ktk mazungumzo na hakika ni vizuri hizo kamati zenu muwashirikishe wote hawa wawili ktk kujieleza zaidi ktk vipengele ambavyo wadai wanaona mgombea wao ni mbora zaidi.

Nasema hivi kwa sababu naijua Bongo vizuri sana, sii lazima mgombea anayepigiwa debe ati ana mvuto zaidi ya mgombea mwingine isipokuwa tuna tabia y kuchaguana kishikaji, tabia ya kubebana kutokana na makundi tunayounda ndani ya vyama. Ni muhimu sana kamati za chama na hata vikao vya chama vinapofikiwa na matatizo kama haya ni bora kutuma mjumbe sehemu husika na kusikiliza wananchi wenyewe badala ya kusikiliza wapambe.

nakumbuka mwaka 2005 niliwahi kuwashauri Chadema kwamba ifikapo uchaguzi ni muhimu sana kuwa na watu wenu wa Usalama (mashushushu) ambao watachunguza kwa makini umaarufu wa kila kiongozi ktk sehemu ambazo wao wataweka mgombea. By the way CCM wamewatumia TAKUKURU kufanya kazi hiyo hiyuo kwa taarifa yenu. Na wagombea waliosimamishwa wamewekwa makusudi ya kukubalika na wananchi.

Ni vizuri sana kumshawishi mgombea kuchukua fomu ya kugombea jimbo kwa sababu mtu huyo anaaminiwa na wananchi zaidi. Ikumbukwe tu kwamba mbunge ni mwakilishi wa wananchi kwa tiketi ya chama na sii mwakilishi wa Chama kwa wananchi, hivyo swala la kuaminiwa linatoka kwa wananchi watakaopiga kura.

Siri kubwa ya kuchagua wagombea ni kumweka mtu anayeuzika, mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kushinda jimbo na huwezi kubashiri umaarufu wa mtu kwa kukaa makao makuu Dar mkisikilizia wapambe kama wanamkubali mgombea. Katika ngazi tata kama hii ni muhimu Chadema watume ujumbe Kilombero au Segerea na kuhakikisha kweli Mpendazoe na huyo mgombea mwingine wana nafasi kubwa ya ushindi kuliko hawa kina dada.. na kikubwa zaidi hawa kina dada washikirishwe kikamilifu kwa kila hatua inayowahusu wao kwani ni ujinga mkubwa kumwacha mtu asijue kinachoendelea ndani ya chama chake mwenyewe. Nimemaliza...

Ni mimi Mkandara, msema Ovyo!
 
Mkandara...... Tatizo nafikiri ni Regia mwenyewe kuonekana kukosa kujiamini.

Anaweka post kisha anaifuta kana kwamba aliandika kimakosa.

Na uandishi wa post bila ya paragraph na kukosa mtiririko ndikob kulikonipelekea kusema ameandika kwa emotions.

Mods wakaharibu zaidi kwa kuifuta thread nzima Kisangani tayari watu walikwisha mnukuu.

Sikupendezewa na maneno ya aina ya kitila usiupoteze umma ................ Na kitila hukuwa na interest ....,

Post imeondosha tu credibility ya chama na yeye Kama mgombea sidhani Kama anatakiwa kufanya hivyo

Nafikiri ingelikuwa bora Kama angejieleza kwa maneno machache na aka stand kwa alicholisema tu
 
Makini and to the point.
 
Mkuu Kiranga,

Mimi sikubaliani na wewe katika hili hasa unapotupa lawama zako kwa CHADEMA kama chama kushindwa kuongoza.. Labda niseme hivi kwamba mwaka huu tunaweza kuona wanaCCM wakikipigia kura Chadema. Hii haina maana hawa watu wameona mapungufu ya chama chao (itikadi) isipokuwa wameona mapungufu ya viongozi wao ktk kuweka malengo (sera) zinazowagusa zaidi.

sasa tunapokuja ktk swlaa la kupewa nchi kuongoza, mara nyingi jicho linakwenda ktk uwezo wa mgombea yaani Dr.Slaa. maamuzi ya Mbowe na Zitto toka hizo principles za Chadema hayawezi kuwa kiashirio cha Principles ambazo Dr.Slaa na serikali yake watazitumia Kitaifa. Huko kuna katiba ya nchi, mwongo na utaratibu wa kisheria ambao sisi wananchi wapiga kura tunamtazama Dr.Slaa na msahafu wake (sera na ilani) kama mhusika mkuu mwenye uwezo wa kuongoza nchi na sii maamuzi yanayohusiana na chama kwa members wake kulingana na Principles zao.

Amini maneno yangu mkuu wangu hata JK alipoingia madarakani viongozi wengi wa juu wa chama CCM hawakukubaliana naye kwa mengi tu na hakika tunaweza kusema CCM haikuwa dhaifu na yenye mapungufu isipokuwa ni viongozi weke ndio wameisfikisha hapo ilipo..Kwa maana nyingine naweza sema - CCM ni Chama kisichokuwa na WATU.
 
Post imeondosha tu credibility ya chama na yeye Kama mgombea sidhani Kama anatakiwa kufanya hivyo

Nafikiri ingelikuwa bora Kama angejieleza kwa maneno machache na aka stand kwa alicholisema tu

Anti chadema mtajaribu sana kuigeuza hii mada iwe kipondo dhidi ya chadema lakini mtachemsha tu
 
Mkandara...... Tatizo nafikiri ni Regia mwenyewe kuonekana kukosa kujiamini.

Anaweka post kisha anaifuta kana kwamba aliandika kimakosa.

Na uandishi wa post bila ya paragraph na kukosa mtiririko ndikob kulikonipelekea kusema ameandika kwa emotions.

Mods wakaharibu zaidi kwa kuifuta thread nzima Kisangani tayari watu walikwisha mnukuu.

Sikupendezewa na maneno ya aina ya kitila usiupoteze umma ................ Na kitila hukuwa na interest ....,

Post imeondosha tu credibility ya chama na yeye Kama mgombea sidhani Kama anatakiwa kufanya hivyo

Nafikiri ingelikuwa bora Kama angejieleza kwa maneno machache na aka stand kwa alicholisema tu
Well tupo wengi tu kama Regia kwani hapa ni kijiweni. Tunaandika kama vile unaongea na mtu na sii kuandika habari au kitabu.
It's a forum..!

Halafu Chama hakikuwa na sababu ya kukaa kimya, ukweli ukizungumzwa iwe yeye kaharibu. Kitila angeweza kuelewa utaratibu wa chama pasipo kumzungumzia Regia na jimbo lake, wasomaji wangeweza kuchambua kulingana na Principles hizo.

Kitila open the door na Regia alikuwa na kila haki ya kuelezea kilichotokea haswa. Alimkosoa Kitila jambo ambalo kasema pengine AKitila alitoka nje nja Ukumbi na hakujua kilichofuatia. Na kama Regia asingeingia hapa na kuzungumza angeonekana hamnazo kabisa kwa sababu watu tayari walikwisha Mjudge... naijua JF mkuu wangu acheni kuhadaa watu.
 
Well tupo wengi tu kama Regia kwani hapa ni kijiweni. Tunaandika kama vile unaongea na mtu na sii kuandika habari au kitabu.
It's a forum..!

Mkandara,

Wenzako wako kwenye mision ya kuisambaratisha CHADEMA kwa kutumia visingizio kibao tu hapa. Soma kila anachoandika Gaijin au Kiranga .... "chadema wabovu sana, hawafai kuongoza nchi, itachukua miaka mingi sana kuongoza, hatutaki mambo ya zambia" na kisha wanamalizia ... ohh tunaongelea siasa in general. i aint buying it
 
Mkuu Kiranga,

Mimi sikubaliani na wewe katika hili hasa unapotupa lawama zako kwa CHADEMA kama chama kushindwa kuongoza.. Labda niseme hivi kwamba mwaka huu tunaweza kuona wanaCCM wakikipigia kura Chadema. Hii haina maana hawa watu wameona mapungufu ya chama chao (itikadi) isipokuwa wameona mapungufu ya viongozi wao ktk kuweka malengo (sera) zinazowagusa zaidi.

sasa tunapokuja ktk swlaa la kupewa nchi kuongoza, mara nyingi jicho linakwenda ktk uwezo wa mgombea yaani Dr.Slaa. maamuzi ya Mbowe na Zitto toka hizo principles za Chadema hayawezi kuwa kiashirio cha Principles ambazo Dr.Slaa na serikali yake watazitumia Kitaifa. Huko kuna katiba ya nchi, mwongo na utaratibu wa kisheria ambao sisi wananchi wapiga kura tunamtazama Dr.Slaa na msahafu wake (sera na ilani) kama mhusika mkuu mwenye uwezo wa kuongoza nchi na sii maamuzi yanayohusiana na chama kwa members wake kulingana na Principles zao.

Amini maneno yangu mkuu wangu hata JK alipoingia madarakani viongozi wengi wa juu wa chama CCM hawakukubaliana naye kwa mengi tu na hakika tunaweza kusema CCM haikuwa dhaifu na yenye mapungufu isipokuwa ni viongozi weke ndio wameisfikisha hapo ilipo..Kwa maana nyingine naweza sema - CCM ni Chama kisichokuwa na WATU.

Mkandara unaweza kuiweka dream cabinet ya CHADEMA, tuseme wamepewa nchi leo, not that CCM ni wazuri hivyo, let us say unataka kuonyesha CHADEMA wana team, unaweza kuweka mawaziri na manaibu wao hapa just for he sake of argument ?

This is a genuine question, I am genuinely examining things. Inawezekana wapo ila wananchi hatuwajui.
 
Na hii itasaidia nini kwenye msingi wa discussion hapa? ...ohh i get it, kuzidi kuonesha kuwa chadema haifai na... you see, you see, you see, haina hata watu wa kuwa kwenye baraza la mawaziri.

Yale ya republican walikuwa wanataka Obama aseme baraza lake la mawaziri ili kuona kama atamweka Rev Wright kwenye cabinet
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom