CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

Hakuna anayeweza kuhama akaitikisa chadema. Lema, na wengine I can call them spent force, until further notice
Kuna wengi Walihama lakini chama kipo! Leo Lissu, Heche, Lema and the like waje wahame eti chama kife? Thubutuu!
 
Hakuna anayeweza kuhama akaitikisa chadema. Lema, na wengine I can call them spent force, until further notice
Wala usianze kuweweseka mapema mapema. Kwani wewe kama kweli una akili Timamu na unajitambua .hivi unaona CHADEMA ya leo ni sawa na ile ya wakati wa Dkt Slaa? Kuna nguvu ya umma inayoiunga mkono CHADEMA kwa sasa kama zamani wakati wa 2010-2015? Hivi unaona watu hususan vijana wana morali ya kushabikia CHADEMA kama ilivyokuwa awali? Hivi unaona vijana wa vyuo vikuu wanaishobokea CHADEMA kama wakati ule wa akina Zitto Kabwe,David Silinde,Halima Mdee ,Juliana Shonza n.k.
 
Kuna wengi Walihama lakini chama kipo! Leo Lissu, Heche, Lema and the like waje wahame eti chama kife? Thubutuu!
Ndio chama kipo lakini je kipoje? Kipo kama zamani? Kina nguvu na ushawishi na uungwaji mkono kama awali?
 
Bila shaka mtapokea makapi, iyo haiwezi kuwa mshutuko
 
Naona umeandika huku moyo wako ukiwa na maumivu makubwa sana.
 
Ndiyo wanamaliziwa ule muamala pamoja na wale wa gereji kwa bwana "Kazi" wa Domdom?
 
Wewe kapuku unahangaika sana na Chadema kuliko kuboresha maisha yako,utaishi kwa uchawa hadi lini huku unazidi kufukarika?
 
Naona umeanza kutetemeka na kuanza kusema makapi. sasa kwanini usiyatoe hayo makapi
Makapi lazima yajichuje yenyewe, mfano kuna covid 19, kuna wame zao covid, kunawanaotuhumiwa ,kura rushwa, sasa hawa wakipokelewa wapo na impact gani kwa mfano.
 
Yani wewe Lucas sijui Mwakatombile wewe kuliko baba yako na mama yako mzazi wangekuzaa Bora wangepiga bao ndani ya Kondomu ya Salama wakaitupa chooni iliwe na Mamende 🪳🪳

Kwamba hamna yeyote atakayezaliwa kushindana na CCM na wala hatokuwepo kama Leo hii mkiruhusu Uchaguzi Huru na wahaki Nahakika CCM mnashinda kwa asilimia 20 mpaka 25 ubunge mnaenda kuwa Chama Pinzani, Kingine kama msipowatumia kina Mafwele kutisha na kupoteza watu kamwe hamtoboi hata kwa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…