Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Naona umechanganyikiwa kabisa dogo .hivi unaifahamu vyema CCM wewe?CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umechanganyikiwa kabisa dogo .hivi unaifahamu vyema CCM wewe?CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Kuna wengi Walihama lakini chama kipo! Leo Lissu, Heche, Lema and the like waje wahame eti chama kife? Thubutuu!Hakuna anayeweza kuhama akaitikisa chadema. Lema, na wengine I can call them spent force, until further notice
Naifahamu kabla wewe hujazaliwa. Wewe unaijua kwa uchawa mitandaoni mimi naifahamu kindakindani na ndiyo maana naichukia. Wewe ni mshamba na kapuku tu.Naona umechanganyikiwa kabisa dogo .hivi unaifahamu vyema CCM wewe?
Wala usianze kuweweseka mapema mapema. Kwani wewe kama kweli una akili Timamu na unajitambua .hivi unaona CHADEMA ya leo ni sawa na ile ya wakati wa Dkt Slaa? Kuna nguvu ya umma inayoiunga mkono CHADEMA kwa sasa kama zamani wakati wa 2010-2015? Hivi unaona watu hususan vijana wana morali ya kushabikia CHADEMA kama ilivyokuwa awali? Hivi unaona vijana wa vyuo vikuu wanaishobokea CHADEMA kama wakati ule wa akina Zitto Kabwe,David Silinde,Halima Mdee ,Juliana Shonza n.k.Hakuna anayeweza kuhama akaitikisa chadema. Lema, na wengine I can call them spent force, until further notice
Ndio chama kipo lakini je kipoje? Kipo kama zamani? Kina nguvu na ushawishi na uungwaji mkono kama awali?Kuna wengi Walihama lakini chama kipo! Leo Lissu, Heche, Lema and the like waje wahame eti chama kife? Thubutuu!
Najua huifahamu vyema CCM maana ni 0 kichwani.Naifahamu kabla wewe hujazaliwa. Wewe unaijua kwa uchawa mitandaoni mimi naifahamu kindakindani na ndiyo maana naichukia. Wewe ni mshamba na kapuku tu.
Nani kakwambia habari hizo.Kuzindua Mabasi ya usafiri sio jambo kubwa ni ushamba na ulimbukeni.
Bila shaka mtapokea makapi, iyo haiwezi kuwa mshutukoNdugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchafua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu hawasikilizi na kupokea maombi ya wanafiki.wewe wasema ila si Mungu tunayemlilia kila siku
ni swala la wakati tu unasubiriwa.
utayashuhudia kwa macho na kusikia
Naona umeanza kutetemeka na kuanza kusema makapi. sasa kwanini usiyatoe hayo makapiBila shaka mtapokea makapi, iyo haiwezi kuwa mshutuko
Zero brain ni wewe unayekesha kusifia watu ambao wala hawana interest na wewe huo ni utaahira unaishi kwa matumaini ya kuhurumiwa.Najua huifahamu vyema CCM maana ni 0 kichwani.
Naona umeandika huku moyo wako ukiwa na maumivu makubwa sana.Bro kwa miaka 60 mmekuwa mnafanya hiyo mikutano, na, yanayotokea hayana chochote cha maaana, tuliiona ccm ya kambarsge(akili kubwa) and, nothing happened of significant value, sembuse ccm hii ya vilaza watupu,! Hata kama Mbowe atajiunga ccm Leo,!
Unamjua Mzee kaborou, mashinji, na kenge wengine, wote Hao walikuwa makatibu wa chama wakaendawakaenda ccm, and nothing happened
0 ni 0 tuZero brain ni wewe unayekesha kusifia watu ambao wala hawana interest na wewe huo ni utaahira unaishi kwa matumaini ya kuhurumiwa.
Ndiyo wanamaliziwa ule muamala pamoja na wale wa gereji kwa bwana "Kazi" wa Domdom?Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchafua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe kapuku unahangaika sana na Chadema kuliko kuboresha maisha yako,utaishi kwa uchawa hadi lini huku unazidi kufukarika?Ndugu zangu Watanzania,

Masikini wa akili na mali,utatumika sana kama toilet paper.0 ni 0 tu
Makapi lazima yajichuje yenyewe, mfano kuna covid 19, kuna wame zao covid, kunawanaotuhumiwa ,kura rushwa, sasa hawa wakipokelewa wapo na impact gani kwa mfano.Naona umeanza kutetemeka na kuanza kusema makapi. sasa kwanini usiyatoe hayo makapi
Yani wewe Lucas sijui Mwakatombile wewe kuliko baba yako na mama yako mzazi wangekuzaa Bora wangepiga bao ndani ya Kondomu ya Salama wakaitupa chooni iliwe na Mamende 🪳🪳Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu.
Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchafua Makamu Mwenyekiti wake Taifa Tanzania Bara kujaza nafasi ya Ndugu Kanali Abudrihamani kinana ambaye alijiuzulu Nafasi hiyo. Ambapo Mwisho wa siku Mzee Stephen Wasira ameweza kuteuliwa na hatimaye kuchaguliwa na wajumbe kujaza nafasi hiyo.
Sasa basi katika kuhitimisha mkutano huo Maalum hii leo.kuna jambo kubwa sana linakwenda kutokea .ambalo ningependa kila mwana CHADEMA awe karibu kabisa na Tv yake au kujisogeza kwa unyenyekevu kwa Tv ya jirani au vibanda umiza au kwenye kumbi za jirani.
CHADEMA jiandaeni kisaikolojia na ikiwezekana muwe na vitambaa mikononi mwenu kwa ajili ya kufuta machozi.maana mtajikuta mnabubujikwa na machozi ya huzuni utafikiri Mmepakwa pilipili machoni penu mkiwa usingizini.
Mtaendelea kujua ukubwa wa chama hiki,umadhubuti,uimara na uhodari wa chama hiki.mtajua kuwa CCM ndio kimbilio na tumaini la watanzania.mtajua ya kuwa huwezi ukashindana na CCM na wala hakuna chama wala mtu mwenye uwezo wa kuweza kushindana na CCM hapa Nchini.hayupo na wala hajazaliwa mtu huyo na wala hatazaliwa hapa Nchini.
Kama unajua una presha basi hakikisha una watu karibu yako wa kukupa msaada wa haraka na kukusaidia kwa hali na mali. CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kwa kadri ya uhai wake mpaka Mwisho wa Dunia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu usimseme sana ,anaweza anza bubujikwa machozi, uyu ndo kazi yakeNaifahamu kabla wewe hujazaliwa. Wewe unaijua kwa uchawa mitandaoni mimi naifahamu kindakindani na ndiyo maana naichukia. Wewe ni mshamba na kapuku tu.
Watu wanahamia na kuingia CCM kwa hiyari yao wenyeweNdiyo wanamaliziwa ule muamala pamoja na wale wa gereji kwa bwana "Kazi" wa Domdom?