CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

Kwa hili imeonyesha cdm wako mile nyingi mbele ya chama la majizi. Lisu aliahidi sana kwenye ahadi zake kuhitimisha huu upuuzi wa viti maalumu kufia madarakani. Chama la wazee limevamia haraka hilo ili ionekane wao ndio wameanza🤣🤣
Kusema mbali na kutenda mbali ..tekelezeni kama mnaweza kuwatoa hao mahawara wa viongozi!
 
Kwa hili imeonyesha cdm wako mile nyingi mbele ya chama la majizi. Lisu aliahidi sana kwenye ahadi zake kuhitimisha huu upuuzi wa viti maalumu kufia madarakani. Chama la wazee limevamia haraka hilo ili ionekane wao ndio wameanza🤣🤣
Lisu ameahidi, lakini hakutekeleza.
 
January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM

Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo

Sio hivyo iliwafanya HATA baadhi ya ukoo ndio unasikia wako kwenye VITI MAALUM tu wao kila miaka waooo eg kule CHADEMA mbowe alisema amepokea malalamiko kuna ukoo MMOJA wako watu watatu kule Moshi AKAOMBA atalifanyia kazi

Hawa watu ukiangalia wako bungen Toka UJANA wao wengine wamekuwa mamama wakiwa bungeni na bado wanataka Tena

Leo nimefurahi kusikia ccm wameweza kufanya kile nilimwombea Mungu haya mambo YAISHE ya Mm NDIE VITI MAALUM nenda Rudi hakuna zaidi yanguu

Binafsi NAWAASA CHADEMA MJIFUNZE Toka chama changu cha ccm mbadilike

Muweke kikomo cha vitimaalum....na sio kila ukoo huohuoo mnapishana tu ujinga........

Nawatakia kila la kheri wotee
Mkuu uko nchi gani wewe? Mbona CCM ndiyo wame C&P aliyosema Lissu siku anatangaza nia kugombea uenyekiti.
 
January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM

Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo

Sio hivyo iliwafanya HATA baadhi ya ukoo ndio unasikia wako kwenye VITI MAALUM tu wao kila miaka waooo eg kule CHADEMA mbowe alisema amepokea malalamiko kuna ukoo MMOJA wako watu watatu kule Moshi AKAOMBA atalifanyia kazi

Hawa watu ukiangalia wako bungen Toka UJANA wao wengine wamekuwa mamama wakiwa bungeni na bado wanataka Tena

Leo nimefurahi kusikia ccm wameweza kufanya kile nilimwombea Mungu haya mambo YAISHE ya Mm NDIE VITI MAALUM nenda Rudi hakuna zaidi yanguu

Binafsi NAWAASA CHADEMA MJIFUNZE Toka chama changu cha ccm mbadilike

Muweke kikomo cha vitimaalum....na sio kila ukoo huohuoo mnapishana tu ujinga........

Nawatakia kila la kheri wotee
Tofautisha Kati ya chama dola na chama Cha upinzani
Pia soma kuhusu 'situation analysis'
 
Wewe dada ni mjinga sn, Lisu ndiyo kaleta ukomo kwenye chama chake na ni agenda ake. Mjinga mkubwa wewe, CCM wanapeleka ukoo bungeni mke na mume wapo bungeni tena mmoja Waziri wa TAMISEMI
 
Viti maalum "KE" viondolewe pawe na viti vitatu tu kila kundi kwa kura yaani Wazee, Wastaafu, Wakulima, Wavuvi, Wachimbaji, Wafugaji nk Yaani yaanishwe walau makundi hata KUMI tu kwa kuanzia na wapite kwa kura !
Vifutwe, kwani kazi ya mbunge ni kumwakilisha nani?
 
Mbona hata mtoto wa chekechea anajua kua CCM INATEMBELEA AKILI ZA TUNDU LISSU.

hata wee mtoa mada mpuuzi Mmoja unaelewa Hilo ila unajitoa ufaham.

CCM wanavyopenda madaraka , Kuna ambaye angelikubali hilo liwe kichwan mwake??.

Mpenzi TUNDU LISSU Maua yake
sasa huoni kuwa lissu yeye ni debe tupu la kuongea vitu ambavyo yeye hafanyi sasa ataendelea kuongea watu wanafanyia kazi yeye anaendelea kuwa mpinzani milele mwandishi nawe mjinga mmoja unaona kabisa lissu ana feli unakuja kujamba humu
 
Back
Top Bottom