CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

Muhimu ni kuwa wameshaanza. Na dunia itawakumbuka kwa kuanza. Zingine story tu
Hicho walichozungumza sasa ndiyo story tu, kuanza ni mpaka 2030 hapa katikati lolote linaweza kutokea akaja mwenyekiti mwingine na mtazamo tofauti na kwa CCM mwenyekiti ambaye ndiye Rais kwao ni Mungu hata akitaka kuwatia vidole watabong'oa huku wanashangilia tu.
 
Back
Top Bottom