CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

Kwa hili imeonyesha cdm wako mile nyingi mbele ya chama la majizi. Lisu aliahidi sana kwenye ahadi zake kuhitimisha huu upuuzi wa viti maalumu kufia madarakani. Chama la wazee limevamia haraka hilo ili ionekane wao ndio wameanza🤣🤣
Kusema mbali na kutenda mbali ..tekelezeni kama mnaweza kuwatoa hao mahawara wa viongozi!
 
Kwa hili imeonyesha cdm wako mile nyingi mbele ya chama la majizi. Lisu aliahidi sana kwenye ahadi zake kuhitimisha huu upuuzi wa viti maalumu kufia madarakani. Chama la wazee limevamia haraka hilo ili ionekane wao ndio wameanza🤣🤣
Lisu ameahidi, lakini hakutekeleza.
 
Mkuu uko nchi gani wewe? Mbona CCM ndiyo wame C&P aliyosema Lissu siku anatangaza nia kugombea uenyekiti.
 
Tofautisha Kati ya chama dola na chama Cha upinzani
Pia soma kuhusu 'situation analysis'
 
Wewe dada ni mjinga sn, Lisu ndiyo kaleta ukomo kwenye chama chake na ni agenda ake. Mjinga mkubwa wewe, CCM wanapeleka ukoo bungeni mke na mume wapo bungeni tena mmoja Waziri wa TAMISEMI
 
Viti maalum "KE" viondolewe pawe na viti vitatu tu kila kundi kwa kura yaani Wazee, Wastaafu, Wakulima, Wavuvi, Wachimbaji, Wafugaji nk Yaani yaanishwe walau makundi hata KUMI tu kwa kuanzia na wapite kwa kura !
Vifutwe, kwani kazi ya mbunge ni kumwakilisha nani?
 
sasa huoni kuwa lissu yeye ni debe tupu la kuongea vitu ambavyo yeye hafanyi sasa ataendelea kuongea watu wanafanyia kazi yeye anaendelea kuwa mpinzani milele mwandishi nawe mjinga mmoja unaona kabisa lissu ana feli unakuja kujamba humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…