CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow.

Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
 
Chadema gan,au wapinzan gan???

Hawa kina mbowe,mbatia,mrema ndiyo wa kuwaamin kuwapa nchi?hata kama CCM kweli imechoka,lakin wapinzan wenyewe wa kuaminika wako wapi??
 
Uraisi hawawez ila kwenye wabunge watapata wengi sana
Mi nalililia jeshi tu lenyewe ndo linatakiwa lihusike ndani ya serikali hata kwa siri hizi siasa zikizidi tutabemendwa!.
 
Tuleteeni mtu Makini, siyo wa kutaka kulipa visasi au mkali zaidi ya jiwe! Kura ztu hata waibe hazitapungua
 
Sjawai kushabikia vyama vya siasa wala kupiga kura, ila 2025 nitampa kura mama samia.



Don’t ask me why?
 
Ebooo!! Ivi watu wanawelewa kweli hii nchi???
Kwa katiba hii na tume hii ya uchaguzi??
 
Shida ni huyo Mwenyekiti wa NEC anaweza kutangaza wapinzani kweli hata kama wameshinda? Labda Jeshi limsimamie atangaze haki
 
Tuleteeni mtu Makini, siyo wa kutaka kulipa visasi au mkali zaidi ya jiwe! Kura ztu hata waibe hazitapungua
Watampata wapi? Kwa taarifa yako wenzio wameshajipanga na yule kichaa ndiye mgombea wao.
Wakipata mtu makini hata mimi naweza kuwapa kura yangu, lakini kama ni huyo zezeta hawaipati ng'oooo. Kuchagua mtu kichaa kukuongoza ni kuonyesha kuwa wewe ni kichaa zaidi, tena karibu unaanza kuokota makopo.
 
Back
Top Bottom