Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Waweke mtu makini sasa maana hata Mimi nimechoka hivi vifinyo vya unguja..[emoji23]
Mi nalililia jeshi tu lenyewe ndo linatakiwa lihusike ndani ya serikali hata kwa siri hizi siasa zikizidi tutabemendwa!.Uraisi hawawez ila kwenye wabunge watapata wengi sana
HakikaHaitakua rahisi kama mnavyodhani..
Watampata wapi? Kwa taarifa yako wenzio wameshajipanga na yule kichaa ndiye mgombea wao.Tuleteeni mtu Makini, siyo wa kutaka kulipa visasi au mkali zaidi ya jiwe! Kura ztu hata waibe hazitapungua