CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow,

Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani.

Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida.

CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi ya Makao Makuu ya Chama ni mbovu kulikoa hata nyumba yetu ya urithi pale Mbalizi.

Lakini bado watu hao hao wanataka kuchukua nchi hii waiongoze wao, kama watu wao wameshindwa kuwaongoza wataweza kuongoza nchi.

Hakuna mabadiliko ambayo wameyaleta tangu kilipoanzishwa chama.

Tusipoangalia tukalazimisha upinzani wachukue, nchi itageuka kama Libya kwa Gaddafi.

Bora tueendelee kuongozwa hivi hivi huku tukiwa na amani, maana hapa nachati vizuri katika ardhi ya Tz, huko Libya wanakimbizana sana, wanatafuta pakutulia hawapaoni.
 
Kama unataka kutoa ushauri wa kuchukua nchi rekebisha kwanza mwandiko wako
 
Back
Top Bottom