Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.