CHADEMA kama wapinzani tumekosa future plans na uwekezaji. Tuna viongozi ambao hawana uwezo wala maono

CHADEMA kama wapinzani tumekosa future plans na uwekezaji. Tuna viongozi ambao hawana uwezo wala maono

Chadema kuna vitu wanakosa, japo wao hujiona wakamilifu always.

Hata members wa humu kama ni kada kindakindaki wa chadema basi huona kua chama chake kiko sahihi na viongozi wake wako sahihi kwa kila kitu. Yaani hawakosoani hata kidogo.

Tofauti na ccm ambao wao eidha hukosoana kikweli kweli au wanatengeneza boko kama hizi za ndugai ili kuonesha demokrasia na kuonesha umma kua hawako sawa na wana uhuru wa mawazo.

Chadema badilikeni bna, sio rahisi kua sahihi kwa 100% em kubalini mnapokosolewa.
Juzikati apo Zito kaomba Mbowe asamehewe ila bado mmekuja juu eti ooh hana kosa sijui na blah blah kibao. Ni upuuzi tu na kujitoa ufahamu tu.
 
Back
Top Bottom