Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sema na weweCHADEMA wengi ni wapuuzi wapuuzi tu... Yaani wanategemea akili zilizotufikisha hapa tulipo ndo zitutoe hapa tulipo...!!
Yaani wengi wao wanasubiria...
Umeanzia angani umeishia angani, nimejaribu kuangalia ulichonitaka niangalie lakini sikukiona cha kuangalia.Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa...
Wewe unayelaumu wenzako umeshatoa mchango gani kwenye chama? Wewe mwenyewe unashinda humu JF kutwa kucha kuwakejeli viongozi wa Chadema na Chadema yenyewe,yaani nyani haoni kundule. Na kwa maandishi yako wewe ni uvccm.Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa...
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi haviwagusi raia ila vinawagusa ccm sio?Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.
Kwa hiyo kamanda mchovu tukueleweje , popo au ndege, mara ni kamanda mara mwanachukua chako mapema(ccm).Tuambie ulipo au mzee wa michongo.Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.
Hamia CHAUMA kwani shida iko wapi?Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.
Chadema imezaa akina Mwita na viongozi wengine wengi tu ambao CCM ilibidi iwanunue kwa gharama kubwa,you are here talking rubbish!Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.
PumbavuWewe mbwiga wa CCM huwezi kujua kinachofanywa na Chadema,tofautisha kauli za mitandaoni na official statement za Chama. Na kwa nini unapenda kujadili mambo ya Chadema yanakuhusu nini wewe taga?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tuliza makaliošPumbavu mwenyewe na wale wawili waliokaa kikao cha siri cha mchakato uliokuleta duniani.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Bora akale ubwabwa tujue Moja .Hamia CHAUMA kwani shida iko wapi?
Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa.
Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo.
Wao ni kuishi kisiasa kulingana na matukio bila kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ambayo yanamgusa raia wa kawaida.
Uwezo wa viongozi wa taasisi zetu ni mdogo sana.
Hupendi ukweli mama?Hiyo mipango ungeiutumia huko ccm leo hii nchi hizi isingekuwa masikini kama hivi.
Hupendi ukweli mama?