Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Amka kumekuchaKila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
Usilolijua ni sawa na usiku wa kizaKila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
Umasikini wa akili ni aibu kubwa kuliko zoteKila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
Mdude ukosefu wake wa elimu ndio uliomponza, na ikawa rahisi kwa viongozi wa CDM kumtumia kama daraja la kuvukia kuelekea ktk upande wanaoutaka. Kwa bahati nzuri serikali ilicheza kama mvua ya alnino ambayo ilinyesha na kusambaratisha daraja hilo lililokuwa linatumiwa na wajanja wachache kufikia malengo yao ya kisiasaUmasikini wa akili ni aibu kubwa kuliko zote
Yaani wewe ile mimba ya chairman tangu uitoe kwa kutelekezwa basi kila mtu katelekezwaa!!!???Huyu kijana ametelekezwa,wakienda kumtembelea wanapiga picha kama wapo picnic