CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

Kila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
Mbona mpaka kesi yake wanaisimamia ni lini walimtelekeza?

Mnaposema kima Lissu wamemuacha je na hao kina Mbowe walipofungwa mdude aliingia jela nao? Si ni viongozi pekee wali suffer?

Hzi struggle za upinzani unaingia ukijua kuna madhara makubwa na haufanyi sababu ya Lissu au Mbowe bali kwa kile unachoamini. Na wana CHADEMA hard core wanaongozwa na hiko ndio maana come sun come rain hutoona wanachama wanatetereka hta kma kina Slaa waliondoka.
 
Asipoelewa hapo basi itabidi tumuombe sana Mungu
 
Swali kwanini wambambikie kesi?
Una uhakika gani kama alibambikiwa? Mbona haukubambikiwa ww au Salary Slip au mmawia au Erythrocyte ambao wanashinda humu kutwa kuisema vibaya CCM,serikali na raisi kwa ujumla? Ndugu akili ya kuambiwa changanya na zako.. asa hivi tupo ktk mwaka mpya wa 2021 usikubali wanasiasa wakushikie akili kaka
 
Hivi kusema ukweli ndio siku hizi kunaitwa kusema vibaya ?
 
Kesi yake kubwa ni ya madawa sio ya kusema ukweli. Kama ingekuwa ni ya kusema ukweli wangeanza kukubambikia ww kwanza na hao wengine niliowataja hapo juu
 
Mtu ambaye ni kapuku kama mdude ambaye kipato chake hakifiki hata laki 1 kwa mwezi aipatie wapi biashara ya madawa ya kulevya , hivi unawajua matajiri wa unga wewe ? mkiwa ccm mnadhani mko salama sana lakini ukweli ni kwamba Shetani hana rafiki
 
CHADEMA ni imesajriwa kwenye mioyo ya watu! Akitaka kuiua CHADEMA, aue mioyo ya watu which means awaue wote.... hata Kasim ni CDM moyoni mwake! mtu yeyote mtenda haki /anayetamani kutenda haki lazima awe CDM ndani ya moyo wake Sky Eclat
 
Hakuna mwanadamu anayejifunza Kwa makosa ya uonezi sahau hilo maishani mwako. Sababu akili yake anajua kaonewa. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO. BY JESUS
Mkuu naomba hilo andiko la Bwana Yesu
 
Alikutwa na madawa ya kulevya baada ya kukosoa serikali pendwa.
Basi sawa.

Back
Top Bottom