CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

Kila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lissu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lissu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.

Mandela alipofungwa jela watu weusi wote walikuwa wanashinda hapo gerezani?
 
shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tu
mnamtembelea mfungwa mkiwa na furaha na makopo ya soda mnapiga selfie

Je wale waliofiwa na wazazi wao wakiwa wadogo wanaishije? Ww uko uraiani, lete picha za familia yako wakiwa wanakula raha. Au unadhani ukileta hizi post za vitisho ndio watu watawaogopa na kuwasujudia madictator uchwara?
 
sasa hivi kiki zote kwisha,
 
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa kanda hiyo Mh Msigwa, viongozi wazito wa Kanda hiyo wamefika ndani ya Gereza hilo la Ruanda na kumsalimia ofisa wa kanda hiyo aliyewekwa kwenye gereza hilo kwa zaidi ya siku 250 baada ya kushitakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana .

Hata hivyo katika hali ya kushangaza wamemkuta Mdude akiwa katika hali ya furaha na bashasha huku akiwapa ujumbe mzito kwamba AMEFUNGWA MWILI LAKINI HAJAFUNGWA AKILI NA FIKRA .

Mungu ibariki CHADEMA
Sio kumuona tu gerezani mseme mmetoa shilingi ngapi kwenye ruzuku kuwalipia ada watoto wake lakini pia hela ya kujiku kwa familia...msimtie ushujaa wa kijuha huku familia yake inateseka..hakuna shujaa gerezani wala msitudanganye eti mmemkuta na sura ya furaha..kama gerezani furaha kwann msigwa karudi kulala kwake badala mngelala gerezani kumpa kampan hata kama ni siku moja?? 😂😂
 
Haijulikani kama unalalamika , unashauri au unalia
 
Mpaka watu waandike kwenye mtandao ndo hao viongozi wakimbie kwenda kumuona?
Kwa hiyo hawakwenda kwa utashi wao bali kushinikizwa na JF.

Back
Top Bottom