CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

Ninachokiona ni ngum sana kuiua chadema
Waache wenye mawazo mgando waendelee kutwanga maji kwenye kinu,kwani yalewayafanyayo badala yakutimiza azma yakuuwa upinzani unajenga ari na hamasa ya kuuimarisha.
 
Sio kesho hata sasa hivi tunasema mmemtelekeza,wewe umeenda kumuona?Au ushabiki wa kizandik?Nenda kamuone kisha njoo na mbwembwe zako na kujinasib.Wewe uko uraiani unahangaikia familia yako,mwenzio yupo gerezani unaona mpo sawa?Usimsifu mjinga tafadhali.Niliwahi kusoma kitabu kimoja zamani kidogo "UTUBORA MKULIMA WA MATAA"Kuna sehemu wameandika "DUNIA HAIMLIPI KITU MJINGA"
 
[/QU
Atatoka lini,au mpaka mvi zianze kutoka?
Tudokeze basi mpango nikumfutia mashitaka lini?
 
Swali kwanini wambambikie kesi?
Kila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
 
Chadema kwa kupigilia pamba nawapongeza!
Haya mambo hayakuja kwa bahati mbaya , ni mipango na hela , kuna chama sare zake ni za kijani lakini kitambaa chake ni cha CHILIMEN , kitambaa cha bei rahisi kupita maelezo , hata wakinyeshewa na mvua hawaloi !
 
Alikamatwa na madawa ya kulevya hiyo ni siasa?

Leo Mchungali Msigwa hakwenda kanisani?
Juzi kati kuna mfanyabiashara dar kashinda kesi ya kukutwa na madawa mahakamani imeonekana hakuwa na madawa kutokana na ushahidi!vp sasa yale madawa nani aliyaweka
Na itakuwaje??

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom