zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mbona mpaka kesi yake wanaisimamia ni lini walimtelekeza?Kila mchuma janga hula na wa kwao. Mdude alichuma Janga akidhani atakula na kina Mbowe, Lisu, Sugu na viongozi wengine wa juu. Sasa mambo yamemgeukia si Mbowe wala Lisu aliefika kumuona. Kwa kiswahili cha fasta fasta tunasema "anapambana na hali yake". Hata hao wamefika baada ya kuona zimeandikwa thread kibao humu zinazozungumzia kutelekezwa kwake.
Asipoelewa hapo basi itabidi tumuombe sana MunguMbona mpaka kesi yake wanaisimamia ni lini walimtelekeza?
Mnaposema kima Lissu wamemuacha je na hao kina Mbowe walipofungwa mdude aliingia jela nao? Si ni viongozi pekee wali suffer?
Hzi struggle za upinzani unaingia ukijua kuna madhara makubwa na haufanyi sababu ya Lissu au Mbowe bali kwa kile unachoamini. Na wana CHADEMA hard core wanaongozwa na hiko ndio maana come sun come rain hutoona wanachama wanatetereka hta kma kina Slaa waliondoka.
Una uhakika gani kama alibambikiwa? Mbona haukubambikiwa ww au Salary Slip au mmawia au Erythrocyte ambao wanashinda humu kutwa kuisema vibaya CCM,serikali na raisi kwa ujumla? Ndugu akili ya kuambiwa changanya na zako.. asa hivi tupo ktk mwaka mpya wa 2021 usikubali wanasiasa wakushikie akili kakaSwali kwanini wambambikie kesi?
Hivi kusema ukweli ndio siku hizi kunaitwa kusema vibaya ?Una uhakika gani kama alibambikiwa? Mbona haukubambikiwa ww au Salary Slip au mmawia au Erythrocyte ambao wanashinda humu kutwa kuisema vibaya CCM,serikali na raisi kwa ujumla? Ndugu akili ya kuambiwa changanya na zako.. asa hivi tupo ktk mwaka mpya wa 2021 usikubali wanasiasa wakushikie akili kaka
Kesi yake kubwa ni ya madawa sio ya kusema ukweli. Kama ingekuwa ni ya kusema ukweli wangeanza kukubambikia ww kwanza na hao wengine niliowataja hapo juuHivi kusema ukweli ndio siku hizi kunaitwa kusema vibaya ?
Mtu ambaye ni kapuku kama mdude ambaye kipato chake hakifiki hata laki 1 kwa mwezi aipatie wapi biashara ya madawa ya kulevya , hivi unawajua matajiri wa unga wewe ? mkiwa ccm mnadhani mko salama sana lakini ukweli ni kwamba Shetani hana rafikiKesi yake kubwa ni ya madawa sio ya kusema ukweli. Kama ingekuwa ni ya kusema ukweli wangeanza kukubambikia ww kwanza na hao wengine niliowataja hapo juu
CHADEMA haiwezi kufa kibwegeMbona imeshakufa imebaki na mbunge mmoja tu!! Hahahahah
Ni ibada tosha,Alikamatwa na madawa ya kulevya hiyo ni siasa?
Leo Mchungali Msigwa hakwenda kanisani?
Waulize wanaokulipaMbona mmeshakufa kibwege! Kwani mnalamaana gani sasa hivi?!!
hiyo ndio kauli yake , na pia ametuasa tusikate tamaa kabisa .
Wewe ni Moja ya Fuvu la hovyo Jamii forumAlikamatwa na madawa ya kulevya hiyo ni siasa?
Leo Mchungali Msigwa hakwenda kanisani?
Hakuna mwanadamu anayejifunza Kwa makosa ya uonezi sahau hilo maishani mwako. Sababu akili yake anajua kaonewa. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO. BY JESUSAshajifunza baada ya kuona waliokuwa wanamshikia akili wamemtelekeza
Hakuna mwanadamu anayejifunza Kwa makosa ya uonezi sahau hilo maishani mwako. Sababu akili yake anajua kaonewa. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO. BY JESUSAshajifunza baada ya kuona waliokuwa wanamshikia akili wamemtelekeza
Mkuu naomba hilo andiko la Bwana YesuHakuna mwanadamu anayejifunza Kwa makosa ya uonezi sahau hilo maishani mwako. Sababu akili yake anajua kaonewa. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO. BY JESUS
Una uhakika gani kama alibambikiwa? Mbona haukubambikiwa ww au Salary Slip au mmawia au Erythrocyte ambao wanashinda humu kutwa kuisema vibaya CCM,serikali na raisi kwa ujumla? Ndugu akili ya kuambiwa changanya na zako.. asa hivi tupo ktk mwaka mpya wa 2021 usikubali wanasiasa wakushikie akili kaka
Kwani jf ni ya chadema mbona mbataka kututawalaWewe ni Moja ya Fuvu la hovyo Jamii forum
Ila ninyi hamlipwi eti?Waulize wanaokulipa