CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali

Hongereni sana makamanda kwa sura za bashasha, Viva CDM,Mdude na wapambanaji wote.
 
Yana Mwisho haya!! Kuna Mbabe aliyetokea zaidi ya Hitler? Je Idd Amini Dada?
 
Hata hivyo katika hali ya kushangaza wamemkuta Mdude akiwa katika hali ya furaha na bashasha huku akiwapa ujumbe mzito kwamba AMEFUNGWA MWILI LAKINI HAJAFUNGWA AKILI NA FIKRA .
shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tu
mnamtembelea mfungwa mkiwa na furaha na makopo ya soda mnapiga selfie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…