CHADEMA Kanda ya Nyasa wafika Gereza la Ruanda kumuona Mdude Nyagali


Mandela alipofungwa jela watu weusi wote walikuwa wanashinda hapo gerezani?
 
shida inapata familia yake,mazuzu hamjui tu
mnamtembelea mfungwa mkiwa na furaha na makopo ya soda mnapiga selfie

Je wale waliofiwa na wazazi wao wakiwa wadogo wanaishije? Ww uko uraiani, lete picha za familia yako wakiwa wanakula raha. Au unadhani ukileta hizi post za vitisho ndio watu watawaogopa na kuwasujudia madictator uchwara?
 
Je wale waliofiwa na wazazi wao wakiwa wadogo wanaishije? Ww uko uraiani, lete picha za familia yako wakiwa wanakula raha. Au unadhani ukileta hizi post za vitisho ndio watu watawaogopa na kuwasujudia madictator uchwara?
sasa hivi kiki zote kwisha,
 
Sio kumuona tu gerezani mseme mmetoa shilingi ngapi kwenye ruzuku kuwalipia ada watoto wake lakini pia hela ya kujiku kwa familia...msimtie ushujaa wa kijuha huku familia yake inateseka..hakuna shujaa gerezani wala msitudanganye eti mmemkuta na sura ya furaha..kama gerezani furaha kwann msigwa karudi kulala kwake badala mngelala gerezani kumpa kampan hata kama ni siku moja?? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haijulikani kama unalalamika , unashauri au unalia
 
Mpaka watu waandike kwenye mtandao ndo hao viongozi wakimbie kwenda kumuona?
Kwa hiyo hawakwenda kwa utashi wao bali kushinikizwa na JF.
 
Huu ni uzembe mkubwa sana kwa chama chetu,mnakula ruzuku kujaza matumbo yenu,huki mkiacha kijana kama Mdude anahangaika hamfai wanafiki wakubwa.
Tangu tukuumbue na kila mtu kukudharau humu unahangaika mno !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…