Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Wewe una wivu wa kijingaKwa akili yako ndogo unajua eti Yericho ni jasusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una wivu wa kijingaKwa akili yako ndogo unajua eti Yericho ni jasusi
Na humpati kwa polite kuanzia IQ, maendeleo na kila kitu labda umzidi kujipendekezaKwa akili yako ndogo unajua eti Yericho ni jasusi
Sasa hivi hatuwasikii tena na vilio vya tume,mpaka mtakapo galagazwa mtaanza tenaHakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Mkuu haya madawa unazungumzia Nchii gani?
Natumia BIMA ya Afya for 5 years now,,nachopata hospital mara nyingi ni mseto,,ila inapokuja issue tofauti na hapo ,,Duka la dawa na Pesa mkononi!.. WEE PIGA KELELE ila ukweli u ajulikanaRemain as you are. Nina hakika hata wewe unajua hayo mambo.
Tunashukuru kwa hili bandiko, ila kilichotokea kwa mgombea mwingine wa ccm 2015 ndani ya cdm kimetutosha. Cdm kama chama wanaweza kumpitisha Nyalandu, lakini mimi na mke wangu hatuko tayari kurudia kosa la Lowassa ndani ya cdm.
Chadema katika Uchaguzi Mkuu ,,mnatafuta kura za Watanzania sio kura za wana Chadema,,ambazo kwa asilimia kubwa kutokana na mahaba yao watawapatia tu hata kama mtaweka zombie,,ila Watanzania wengine walio njia panda wasiokua Ccm wa Act wnasubiri Chama kitakacho simamisha Mgombea Chuma,,wakiunge mkono!.. Sasa nyinyi Wekeni Nyalandu ,,,Mtanyanduliwa Mapemaa mgawane mbao,,,,,TWENDE NA LISSU HATA WAO WANAMUOGOPA
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.
CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!
Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!
Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?
Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
Tatizo sio marekani tatizo ni sisi wenyewe mafisadi ni watanzania mambo ya simbioni na IPTL tusilaumu marekaniInawezekana kweli Chadema watacheza karata hiyo kwasababu nyuma ya Nyalandu kuna Marekani na Wamarekani hawapendi mambo anayofanya Magufuli ya kujenga uchumi wa kujitegemea wanataka siku zote wawe kama remote control na sisi tuwe kama TV wanabadilisha mambo na tufuate wanayotaka kama walivyoleta SYMBION ambao ulikuwa mradi wankinyonyaji kabisa na Magufuli akasimamisha.
Ila Chadema inabidi itambue Tanzania ya sasa sio ya zamani ya kufuata mikumbo Watanzania sasa wana mizani ambayo inawaongoza katika machaguo yao watapima uwezo wa Magufuli kwa aliyoyafanya ndani ya miaka 5 na wataangalia anayeshindana nae alifanya nini akiwa kwenye serikali au nje ya serikali nawahakikishia Watanzania ushindi wa Magufuli utakuwa kati ya asilimia 85-90 na Si chini ya hapo tukutane October.
hiyo nzuri sana itavuta attention ya wengiHongera zao, nawashsuri chadema wafanye mdaharo Wa wagombea wao wote
ccm ni ileileTutegemee mengi mazuri toka CCM.
Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Achana na hilo lipumbavu mkuuUnajua maana ya jasusi?
Hongera kwa kuusemea moyo wa mwezi wako.
P
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.
CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!
Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!
Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?
Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
Wakati huo CCM walikuwa na hayati Mwl. J. K. Nyerere akaokoa jahazi CCM kuangukia pua na kupotea kabisa.....
Mwaka atakuwa nani? Kikwete? Mkapa? Mwinyi? Au Bulembo?