Uchaguzi 2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

Uchaguzi 2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

Nyalandu n kiongozi mzuri sana, ila mdaa huu sio wa kucheza tena na uaminifu wa mtu kama nyàlandu, huu n mda wa kuchezea na hisia za watu hasa wapiga kura, na hapa ndo unaona umuhimu wa mtu kama lissu

"n lazma kuamsha hisia za wanyonge"
Pointi
 
Back
Top Bottom