Uchaguzi 2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

Tunashukuru kwa hili bandiko, ila kilichotokea kwa mgombea mwingine wa ccm 2015 ndani ya cdm kimetutosha. Cdm kama chama wanaweza kumpitisha Nyalandu, lakini mimi na mke wangu hatuko tayari kurudia kosa la Lowassa ndani ya cdm.

we jamaa ingawa unateteaga sana chadema lakini kuna mda point zako nazielewa sana kama ya leo
 
we jamaa ingawa unateteaga sana chadema lakini kuna mda point zako nazielewa sana kama ya leo

Siku zote pointi zangu ziko hivi hivi, lakini una upande, hivyo ikiwa ukweli niliousema haukufurahishi huwa unauweka kwenye point usizozielewa. Sasa hilo sio kosa langu, bali ni kosa lako.
 
komesha ya ccm ni tundu lissu
 
nyala
we jamaa ingawa unateteaga sana chadema lakini kuna mda point zako nazielewa sana kama ya leo
nyalandu tofauti yake na lowasa ni hamna mtu sahihi ni lisuu ambaye watapekana puta kwa kiwango cha ccm hii
 
Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Anything, something unexpected may happen. Kama watanzania wapiga kura watatoka wote linaweza kutokea jambo la ajabu.
Mambo yatakuwa rahisi sana wapiga kura wakipindukia uchache ambalo pia ni possible
 
Kaka tena chini ili uandae maadishi mapya, maana hakuna muunganiko wa mawazo na kichwa cha habari. Maana hii ni ya ovyo kabisa, na ni uchafu wa kutupilia mbali. Kwamba maovyo haya ndio yameakisi akili zako za ovyo.
 
Natumia BIMA ya Afya for 5 years now,,nachopata hospital mara nyingi ni mseto,,ila inapokuja issue tofauti na hapo ,,Duka la dawa na Pesa mkononi!.. WEE PIGA KELELE ila ukweli u ajulikana

Nina uhakika hata wewe unaona mambo makubwa na ambayo hayakutarajiwa yanavyofanyika
 
Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
huko field ndo kule mlikocheza faulo ucaguzi wa serikali za mitaa
 
Wananchi wanamchagua wanayemjua sio surprise unless nguvu za ziada zianhitajika . Siasa za bongo Ni ngumu Sana , some time focus kwenye public known than unknown
 
Waneni hunena la kuvunda ubani halina. Hii safari imeshakwiva tunasubiri Oktoba 2020 watu wachomoe mashine moakutane na mola wenu.
 
Hakuna wa kusimama na magufuli akamtingisha kati hao wote, watagaragazwa vibaya sana.kifupi chadema hakuna mshindani wa magufuli Ni wasindikizaji tu
Mtu wako atabebwa na wakurugenzi na mapolisi na NEC kuiba kura, lakini kwa kura halali hana kitu!!
Nani achague njaa , vifo na umasikini??
 
Umetumwa ww....nyalandu hawezi chukua nafac ya lissu...maana lissu ndie kijana pekee aliwahi kutikisa ccm mpaka mbinu zao zimeshindikana ana majibu yote kuhusu haki na harakati za kudai haki anajua vitu vingi mpaka kuelezea uchumi wetu ana maswaliii magumu hakuna atakae weza kujajibu ata kama barabara na madaraja yamejengwaa mwaka huu tutaona mchuano mzuri wa siasa tunaomba mauaji yasitokee tuu
 
Kumsimamisha Nyalandu? Aisee huyu hachomoki hata mgombea Ccm akiwa Jumanne Kishimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…