Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha.
Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za kuongoza watu na hata Taifa kwa ujumla.
Wengi ni watu waropokaji, wasio na ustahimilivu , maadili na sifa nyingine za uongozi.
Maneno wanayotoleana utadhani ni akina " Mwajuma ndala ndefu", hawana siri na wala hawaheshimiani kama viongozi.
CHADEMA bila kuwekeza katika mafunzo na kuwajenga viongozi wake itaendelea kuwa na watu wa hovyo kama hawa tunawaona kwenye malumbano wanayoita wao demokrasia.
Mbowe akishinda uwenyekiti atafanyaje kazi na Team Lissu na vivyo hivyo Lissu akishinda uwenyekiti atafanyaje kazi na Team Mbowe?!
Wanatoleana maneno hadi wanavuka mipaka ( point of no return).
Baada ya uchaguzi wao huu CHADEMA kitakuwa chama dhaifu sana kuliko wakati wowote wa kuwepo kwake !!
CCM siyo wajinga kuwa na Vyuo vya mafunzo kwa ajili ya kuwapika makada wao na viongozi wao.