Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Mh. Freeman Mbowe na John nyika wanasalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania! Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Poleni na changamoto za kisiasa mnazokumbana nazo, kwa ajili ya kuwa tetetea na kuwapigiania watanzania wote.
Leo napenda kushare na nyie maabdhi ya mambo juu ya siasa zenu zidi ya ccm. Kwanza kabisa kwa maoni yangu mimi mwinjilist Gabeji naona kwa jicho tatu mmepoteza ushawishi na mvuto kutoka kwa wanainchi wa Tanzania hasa hawa masikini na wa chini kabisa ambao ndio mtaji wenu mkubwa juu ya ungwaji mkono, kwa sababu hawa ndio wengi na ndio wapiga kura wenu.
Kwanini mmepoteza ushawishi na mvuto?
1. Viongozi nyie wa juu mmeshindwa kujenga itikadi na imani yenu kwa wanainchi. Imani na itikadi ndio MSINGI mkuu wa "people's power" angalia mfano wa mandamano ya silanka mwaka juzi, ile ndio inaitwa people's power" kwa nini mmeshindwa ni kwa sababu hamtoi elimu elimu elimu elimu elimu ya kutosha juu ya misingi ya itikadi, imani na sela zenu kwa wanainchi wa chini kabisa,ikakaa mioyoni mwao sio kwa nadhalia bali kwa vitendo halisi.
Kwa mfano wanainchi wa chini wanaishi maisha ya kimasikini nyie mnaishi maisha ya kifahali kupitia fedha za wanainchi hao hao ,mnatebelea magari,ya bei kubwa sana, majumba mnaishi ya kifahali kubwa, mnalala kwenye mahoteli makubwa sana,ya nyota tano,
Mnafanya mikutano yenu kwenye mikumbi ya kifahali, ya nyota tano, mnatembelea chopa, maisha yenu kiufupi ni ya kifahali mnataka kufanana na maisha wanayoishi viongozi wa ccm CHAMA tawala.
Kiujumla wanachofanya ccm kuvuja mali za uma na nyie mnafanya. Kwa matiki hiyo ni ngumu sana tena sana kwa mwanainchi mwenyewe akili timamu kuwaunga mkono juu ya mamuzi ya jambo lolote lile.
Ndio maana mandamano sio people's power, kupiga kura sio people's power, kwa sababu mnachokihubili na kukosoa nyie hamkifanyi,( betrayal in the city) (hapocracy).
Nini kifanyanyike basi?
Kama kweli MKO siriasi kutaka kushinda uchanguzi na kuingia ikuru sio 2025 mchelewa sana,mjipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2029 na 2030. Fanyeni haya kinyume na ccm kwa matendo na sio maneno.
1. Viongozi wote kuanzia juu mpaka chini muishi maisha ya kawaida sana tena sana hata kama mnauwezo wa kuishi maisha ya juu. Kuanzia magari yenu, nk, I'li kupata ungwaji mkono kwa wanainchi wa chini kabisa, hiyo ndio "people's power" you do what you preach, by any means.
2. Toeni elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimu elimu juu ya uzalendo wa taifa letu, "do vise versa to your opponents" kwa mfano kama ccm ni mafisadi wa mali za uma, nyie nyie mnasimamia taifa kwanza, uzalendo kwanza.
3. Mjipange kisaikolojia kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa 2029 na uchaguzi mkuu 2030, mwandae mikakati kuanzia chini vijijini huko, kuwe na misingi ya imani na itikadi ",the taller of building the deeper foundation".
Chadema ipo mikoa isiyozidi mitano tena ni mjini tu, kilimanjaro, arusha, mbeya dar es salaam, iringa na songwe kidogo sana, mjini tu.
4. Muwe na ajenda zenu thabiti endelevi. Na sio kuafuata matukio ya kila siku, ajenda hizi ziendae sambamba na sera zenu itikadi zenu na imani ziwafikie wanainchi wa huko ndani kabisa nambizo mbozi, ilolo iringa, misingwi, mtwala ndani huko uwe uwimbo wa kwa wanainchi kila mtu aimbe juu ya sera zenu.
5. Changa viongozi wa makabila mbalilmbali kila kona ya inchi hii,
Muwe na utaratibu wa kuandaa viongozi,hizo pesa za vikao, mavi8, chopa, mahoteli nyota tano, wapelkeni vijana kusoma inchi mbalilmbali juu ya itikadi, na sera zenu.
Sio kila mwaka Lema, Sugu, James, Mbowe, Mwakajoka, Mbowe, Lissu, Wenje, Heche, Pambalu, John Mnyika,. nk, kila mwaka hao hao, badilisheni ladha ya viongozi, ndio maana kosa" people's power" NB Katiba , tume huru ,polisi, tiss, hivyo vyote havin nguvu mbele ya people's power ya kweli kutoka kwa wanainchi. Nafanya haya yote kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa Tanzania.
Ninayo mengi sana ya kuwashauri ila kwa leo ngoja niishie hapa . Asanteni sana by mwinjilist Gabeji.