Kitendo Cha kutambua uwepo wa watu wa hali ya chini ni ishara kwamba Chama chetu kimeshindwa kuiongoza Tanzania..
Tangu 5-2-1977 hadi leo bado Kuna masikini wa kutupwa,halafu unasema ni mtaji wa Chadema,swali,ni nani aliyezalisha Hawa masikini?
Nembo ya Chama changu Cha mapinduzi kina alama ya jembe na nyundo,maana ya jembe ni mkulima na nyundo ni mfanyakazi...hivyo hadi leo Nov 2024 tulitakiwa tuwe na matabaka mawili i.e tabaka la wakulima na la wafanyakazi,swali Je CCM imeweza kutengeneza mataba hayo? Sasa Kuna tabaka hadi la uchawa...hili limetoka wapi?
Kimsingi,ulichokiandika ni UHARO mtupu,samahani kwa kutumia hilo neno lakini kwa ulichokiandika Sidhani kama kina mbadala wa hilo neno.