Pre GE2025 CHADEMA kimekosa mvuto kwa Wananchi masikini kushinda uchaguzi 2024 na 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Garbage AKA Gabeji in Gabeji out.
 
Utumbo mtupu! Katafute mvuto kwenye familia yako!
Chadema kimebaki na wapumbavu kama huyu...awapendi tena kusikia ukweli ni dalili.kamili ya chama mfu
 
Umetambua kwa nini uzi wa asubuhi saa moja una wachangiaji 11?Haujui hali halisi za Watanzania kiuchumi na wanayoyapitia.Siku nyingine ni vema ukatuliza kiuno chako na kuacha kupapatikia ujingaujinga.
 
Nimeishi Mkoa wa pwani kwa zaidi ya miaka mitano (5) sijawai ona kitu kinaitwa Chadema, zaidi zaidi ni historia ya watu wa mikoani waliofika na kushawishi then walipoteaa..

CHADEMA wanakazi kubwa ya kurejesha itikadi na imani kwa wanachi..
Mfano: Mh Tundu Lixu akiwa anazungumza kwenye hadhara hana jipya, zaidi huzungumzia alivyopigwa risasi tu... still anamzungumizia mwendazake ambae saivi kapumzika mbele za haki.. But

Yapo mengi ya kukusoa serikali Mfano: Watanzania wengi ni wafanya biashara na wakulima , kwenye Biashara kinacho tuumiza wengi ni Kodi.
Kodi zimezidii, maafisa TRA wanajisifia kwa kukusanya kodi kila kukicha na wengine wanapeana Tuzo πŸ˜„. Bila kujua tunaumia sana Watanzania wachini, Kunabiashara nilipata hasara lkn bado nilishikiliwa kodi hadii kooni..

Kwenye maandamano ya Kodi Mwaka jana pale kariakoo, sikusikia chama pinzani kimetumia mwanya kuhamasisha wanachi kusimama kidete Kwenye Kodi.. Vyama pinzani Huwa wanapiga porojo za kisiasa tu.

Nawengine wanamshukuru Mh na kutoa sifa kedekede, nawengine walishona sare zikiwa na picha ya Mh Xa100. Hatukatai kushukuru ila mmnavuka mipaka,

Kwenye zoezi la uandikishaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mkoa wa pwani, Mawakala wa CHADEMA sijui walikuwa wapii? Binafsi sikuwaona

Mjitafakari
 
Labda niwakunbushe tu mwandishi anaitwa Gabeji ( not sure maana yake ni takataka au kabeji chakula )
 
Chadema kimebaki na wapumbavu kama huyu...awapendi tena kusikia ukweli ni dalili.kamili ya chama mfu
Usingekuwa mpumbavu ungejitoa kuwa mbwa mpumbavu!
 
Chawa kama wewe huwezi kuona uchafu kwani ndiyo maisha yako!
 
Kwahiyo aliowafanya wananchi kuwa maskini ni chadema!!?

Halafu kwanini umaskini ni sifa ya kwetu ccm kuchaguliwa!!?

Siku JWTZ IKIZINDUKA KWENYE USINGIZI WA PONO NA KUFANYA MAPINDUZI NITAWASAIDIA KWA KUWAPA WALAU SODA TANO ZA FANTA!!

CHAMA CHETU KIMEKUA CHA AJABU SANA!

ETI UMASKINI NI SIFA YA KUCHAGULIWA NA KUSHIKA DOLA!
 
Ww chama gani, Toa maoni yako
Mimi ni Mtanzania ninayehitaji ushindani wa haki na huru wa vyama vya siasa. Nakemea vikali kudhalilisha vyama vya upinzani ambavyo vipo kisheria!
 
✌🏽✌🏽✌🏽πŸ’₯πŸ’₯ 2025 ndyo utajua kwann ya uchaguz mkuu wanagu lile dude hata kama ulikuwa unampango wakwenda kupga kura ukisikia tu chadema! Chadema! Chadema! Pps powers iiiiiii dai hak yako mtanzania ..... aiseee wacha kabsaaa 😭😭😭 forever live long life chadema! Long life chadema! Long life chadema your my destiny in our Nation I❀️✌🏽
 
Huo wimbo ukingekuwa unaimbiwa mpaka kijijni ,ingekuwa people's power halisi,
 
Mimi ni Mtanzania ninayehitaji ushindani wa haki na huru wa vyama vya siasa. Nakemea vikali kudhalilisha vyama vya upinzani ambavyo vipo kisheria!
Mtu anapo washauli anadhilisha CHAMA, nioneshe nilipofanya hivyo mkuu,
 
Umelewa vibaya mkuu ,soma vizuri, wanainchi hataki kuona gape kubwa sana Kati yao na viongozi, wao kuwepo angalau, ubinafsi kutoka vyama vyote ndio unaotafuna taifa letu
 
Chadema huwa hataki kusikia ukweli mkuu kabisa, ukiona watu wanawashauli mjue watu wanataka mabadiliko ndani ya inchi, kuwepo na ushindani mkubwa, kwa mfano huku MOROGORO SIJAWAI SIKIA chadema, karibuni wilaya zote,angalau mikumi.
 
Umetambua kwa nini uzi wa asubuhi saa moja una wachangiaji 11?Haujui hali halisi za Watanzania kiuchumi na wanayoyapitia.Siku nyingine ni vema ukatuliza kiuno chako na kuacha kupapatikia ujingaujinga.
Mm sipo kuangalia wachangiaje mkuu, lengo la uzi nikufikisha ujembe,kama ww ulivyo pata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…