Pre GE2025 CHADEMA kimekosa mvuto kwa Wananchi masikini kushinda uchaguzi 2024 na 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siipendi CCm kwasababu ndio madereva waliotuendesha tangu miaka hiyo hadi leo ambapo tunashangilia eti ujenzi wa zahanati na choo na huku tunasema mama samia ndie anaetoa pesa....ila tukija kwenye upande wa upinzani nako hakueleweki kabisa kiasi kwamba chadema imekosa mvuto kabisa
 
Mh. Freeman Mbowe na John nyika wanasalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania! Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Ni mpumbavu tu kama mleta mada huyu anayeweza kuandika upupu kama huu akijua fika CCM wameweka mazingira ya kishenzi. Huu sio uchaguzi bali ni upumbavu wa hali ya juu
 
Ni mpumbavu tu kama mleta mada huyu anayeweza kuandika upupu kama huu akijua fika CCM wameweka mazingira ya kishenzi. Huu sio uchaguzi bali ni upumbavu wa hali ya juu
Ni sahhi ,kama ccm wametengeneza mazingira ya figisu, CHAdema kimefanya nn? So what? Je watabaki kulaumu, au kulia lia, alafu wanainchi wafanye nn? ,Chadema watoe elimu ya kujitambua kwa wanainchi ,who is an enemy for Tanzania? Badala kulia kulia, na kulaumu.elimu elimu elimu.
 
Kabisa mkuu, miaka 20 ya CHAMA kikuu,cha upinzani, bila ajenda, bila focus, bila itikadi. Bila elimu ya kiraia Sawa na bure
 
Kabisa mkuu, miaka 20 ya CHAMA kikuu,cha upinzani, bila ajenda, bila focus, bila itikadi. Bila elimu ya kiraia Sawa na bure
Mpumbavu kamwe hawezi kubadili mawazo yake! Kama kweli una akili timamu ni kweli kuwa Chadema iko mikoa mitano tu? Ujinga huo!

Kwamba wafanye mikutano yao ya ndani vichochoroni? Upumbavu wako mwingine huu!

Kwamba wabadilishe viongozi kama boxer yako? Ushenzi wako mwingine huu!

Kwamba viongozi waishi kifukara na uwezo wanao? Mnafiki mshenzi wewe?

Kwa kifupi wewe ni juha mnafiki!
 
Asante sana
 
Nyie wananchi mnaoumizwa na kodi hamuwezi kujitetea hadi mtetewe na chama cha siasa? Au nyie ni maiti hai, mnasubiri kutetewa tu? Inabidi mjitafakari kwakweli.
 
Nyie wananchi mnaoumizwa na kodi hamuwezi kujitetea hadi mtetewe na chama cha siasa? Au nyie ni maiti hai, mnasubiri kutetewa tu? Inabidi mjitafakari kwakweli.
Ndio maana kukawepo na vyama vya siasa I'li viogonizi wanainchi kwa ajili ya kupigania haki, vinginevyo utaitwa kibaka
 
Ndio maana kukawepo na vyama vya siasa I'li viogonizi wanainchi kwa ajili ya kupigania haki, vinginevyo utaitwa kibaka
Ingekuwa vyama vya siasa ndio pekee vyenye wajibu wa kusemea wananchi, kungekuwa na sheria ya kulazimisha kila mwananchi lazima awe mwanachama wa chama kimojawapo.
 
Ingekuwa vyama vya siasa ndio pekee vyenye wajibu wa kusemea wananchi, kungekuwa na sheria ya kulazimisha kila mwananchi lazima awe mwanachama wa chama kimojawapo.
Ndio maana sheria ya mgombea binafsi ni muhimu sana, unakujua kwann,maana yake hao wanasiasa ccm wanaogopa kukosa wanachama.
 
Ingekuwa vyama vya siasa ndio pekee vyenye wajibu wa kusemea wananchi, kungekuwa na sheria ya kulazimisha kila mwananchi lazima awe mwanachama wa chama kimojawapo.
Elimu ni Muhimu sana
 
Chadema haijakosa mvuto na wala haitokuja kukosa mvuto ila ni watu wamechoshwa na freeman Mbowe

Kuna wananchi kukosa imani na Mbowe na siasa za mbowe
Ni tofauti na wanachi kukusa imani na mvuto na chadema

# Mbowe must go
 
CCM hamna chama humo, kwa sasa ni mkusanyiko wa wahuni wanaojaribu kila kukicha kuvuruga demokrasia katika Taifa letu - mfano hai ni namna wanavyovuruga huu uchaguzi serikali za mitaa wakiwatumia Tamisemi..yaani ni aibu tupu.

Hii ni ishara tosha kwamba hawa jamaa hawakubaliki.
 
MASKINI si walikuwa watu wa JIWE?
WAMEMUHAMA ?
 
Ukweli usiopingika mkuu..
 
Kitendo Cha kutambua uwepo wa watu wa hali ya chini ni ishara kwamba Chama chetu kimeshindwa kuiongoza Tanzania..
Tangu 5-2-1977 hadi leo bado Kuna masikini wa kutupwa,halafu unasema ni mtaji wa Chadema,swali,ni nani aliyezalisha Hawa masikini?
Nembo ya Chama changu Cha mapinduzi kina alama ya jembe na nyundo,maana ya jembe ni mkulima na nyundo ni mfanyakazi...hivyo hadi leo Nov 2024 tulitakiwa tuwe na matabaka mawili i.e tabaka la wakulima na la wafanyakazi,swali Je CCM imeweza kutengeneza mataba hayo? Sasa Kuna tabaka hadi la uchawa...hili limetoka wapi?
Kimsingi,ulichokiandika ni UHARO mtupu,samahani kwa kutumia hilo neno lakini kwa ulichokiandika Sidhani kama kina mbadala wa hilo neno.
 
Lakini bado hamjiamini kwenye uchaguzi huru na haki na kua na mvuto mda wote.
 
I
Chadema haijakosa mvuto na wala haitokuja kukosa mvuto ila ni watu wamechoshwa na freeman Mbowe

Kuna wananchi kukosa imani na Mbowe na siasa za mbowe
Ni tofauti na wanachi kukusa imani na mvuto na chadema

# Mbowe must go
Unatenganisha vp chadema na mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…