Pre GE2025 CHADEMA kimekosa mvuto kwa Wananchi masikini kushinda uchaguzi 2024 na 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Viongozi wa chadema wawe wengine Mbowe na Lisu,wakae pembeni
 
Lakini bado hamjiamini kwenye uchaguzi huru na haki na kua na mvuto mda wote.
Chadema kuna mapandikizi ya ccm, ndio maana wanakubari kishiriki uchaguzi wakati wanajua hawezi kushinda, tume,polisi, tiss ,walimu wote ni ccm
 
Shida chadema, kuna watu mapindikizi wa ccm,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…