Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaomia nini ?Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
View attachment 3142285
Nimeacha siasa lkn sijaacha kuandika siasa.Umeacha siasa, bado unatafuta nini huku?
Unajibu nini .wewe si ulisema umeacha siasa? Au ulikuwa unabipu kutafuta kujiliwaza.Unaomia nini ?
Acha ujinga na utoto na kujidhihilisha tu hapa.au ulifikiri kuna wakukubembeleza? Acha hata sasa uone kama mambo yatakwama.zaidi wewe ndio utakufa kwa msongo wa mawazoNimeacha siasa lkn sijaacha kuandika siasa.