CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

Hivi kweli nyie ' wasomi' mnakubaliana na 'katiba pendekezwa' inayosemekana ilipigiwa kura na kina mama wakati wanajifungua na watu waliokuwa hijja ambao wasingeweza kupatikana wapige kura? Mnakubaliana na katiba pendekezwa ambayo imeondolewa vipengele vyote vya kuwajibisha mafisadi? Shame !
 
Mwenyekiti kwan humjui?
na hakubalian na kitu kinachoitwa Ukawa kwa sasa
Wakati kakimbilia Rwanda UKAWA ilikufa?

Tuliongeza majimbo bila Lipumba,
Tumeshinda umeya bila Lipumba, in short kuwa na Lipumba ni hasara.
 
Wakati kakimbilia Rwanda UKAWA ilikufa?

Tuliongeza majimbo bila Lipumba,
Tumeshinda umeya bila Lipumba, in short kuwa na Lipumba ni hasara.
Sasa ye ndio mwenyekiti Chadema haina uwezo wa kumwendesha profesa!
haitaki ukawa
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kinaanza mchakato wa kudai katiba mpya katiba pendekezwa ya wananchi kwani ndio suluhu ya mambo yote yanayoendelea na figisufigisu zilizoendelea huko nyuma hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA huko Mkuranga Pwani kwenye Harambe ya Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA.

Katibu Mkuu Dkt. Mashinji kwa niaba ya ofisi yake amechangia sh. 3,000,000 (milioni 3) cash kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga.

Jumla ya ahadi ya fedha katika harambee ya kuchangia ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga ni Tsh. 9,900,000

Pesa Taslim (Cash) 4,700,000
CHADEMA?! Mchakato wa katiba mpya!
Niwape ushauri, waanze na katiba yao ndani ya chama
Kwanza viongozi wawe na muda wa ukomo wa madaraka,
Na katiba yao iseme, mtu anajiunga leo kesho anakuwa mgombea urais
Na katiba yao iruhusu mwanachama kwenda mahakamani kama hakuridhika na maamuzi ya chama
Na katiba iwe wazi kuhusiana na ruzuku ya chama, siyo mwenyekiti anakidai chama kila siku
Baada ya hapo katiba ya watanzania tutaidai wote
 
Back
Top Bottom