Waulize katiba inadaiwa na chadema au wananchi?CHADEMA?! Mchakato wa katiba mpya!
Niwape ushauri, waanze na katiba yao ndani ya chama
Kwanza viongozi wawe na muda wa ukomo wa madaraka,
Na katiba yao iseme, mtu anajiunga leo kesho anakuwa mgombea urais
Na katiba yao iruhusu mwanachama kwenda mahakamani kama hakuridhika na maamuzi ya chama
Na katiba iwe wazi kuhusiana na ruzuku ya chama, siyo mwenyekiti anakidai chama kila siku
Baada ya hapo katiba ya watanzania tutaidai wote