CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

CHADEMA?! Mchakato wa katiba mpya!
Niwape ushauri, waanze na katiba yao ndani ya chama
Kwanza viongozi wawe na muda wa ukomo wa madaraka,
Na katiba yao iseme, mtu anajiunga leo kesho anakuwa mgombea urais
Na katiba yao iruhusu mwanachama kwenda mahakamani kama hakuridhika na maamuzi ya chama
Na katiba iwe wazi kuhusiana na ruzuku ya chama, siyo mwenyekiti anakidai chama kila siku
Baada ya hapo katiba ya watanzania tutaidai wote
Waulize katiba inadaiwa na chadema au wananchi?
 
UKAWA, UKUTA, kutokumtambua Lipumba, Operresheni Sangara, Operesheni vua gwanda vaa gwanda, Operesheni tokomeza ufisadi, Operesheni karibu Lowassa n.k, yote yameanguka kifo cha MENDE.

Jamani, hivi nyingi viongozi wa CHADEMA nani kawaroga mpaka mnajitoa ufahamu namna hiyo?

Sisi wanachama wa CHADEMA tumewachoka na matamko maoperesheni yenu viongozi, maana mmechokwa na wananchi. Mkampimwe IQ kwa kuwapokea watuhumiwa papa wa UFI.....DI.
 
Katiba sio ya wana siasa tafadhari msitulete ya awali rais alishasema wapo watu watafanyia kazi ilo ,sio nyie ,
 
UKAWA, UKUTA, kutokumtambua Lipumba, Operresheni Sangara, Operesheni vua gwanda vaa gwanda, Operesheni tokomeza ufisadi, Operesheni karibu Lowassa n.k, yote yameanguka kifo cha MENDE.

Jamani, hivi nyingi viongozi wa CHADEMA nani kawaroga mpaka mnajitoa ufahamu namna hiyo?

Sisi wanachama wa CHADEMA tumewachoka na matamko maoperesheni yenu viongozi, maana mmechokwa na wananchi. Mkampimwe IQ kwa kuwapokea watuhumiwa papa wa UFI.....DI.
Achana nao chadema wanadai katiba ya wapi YAO imewashinda itakuwa hii,katiba watadai wananchi sio chadema
 
Waulize katiba inadaiwa na chadema au wananchi?
Wanatafuta tundu la kutokea!
Kwanza wajiulize wananchi, watanzania wanataka kitu gani kipindi hiki,
Kwa sababu wanajiita wasomi, wafanye research kwanza watajua mahitaji
Kwa niaba ya mamilioni ya watanzania wapenda siasa bora tunawapongeza Mh Mbowe na Mh Lowassa na uongozi wote wa CHADEMA kwa ujumla kwa kukijenga chama na sasa kuimarika na kuwa tishio kwa uimara wake.

Tunashuhudia baadhi ya vyama kikiwemo ccm vikigubikwa na migogoro kila uchao lkn CHADEMA ni amani na utulivu.View attachment 413655
 
Wanatafuta tundu la kutokea!
Kwanza wajiulize wananchi, watanzania wanataka kitu gani kipindi hiki,
Kwa sababu wanajiita wasomi, wafanye research kwanza watajua mahitaji
Hawana cha kusema ufisadi limewanunua sasa wamebaki ukiwa sasa wanataka kuanzisha kelele wasikile lkn huyu sijui kama wanamjua vizuri
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kinaanza mchakato wa kudai katiba mpya katiba pendekezwa ya wananchi kwani ndio suluhu ya mambo yote yanayoendelea na figisufigisu zilizoendelea huko nyuma hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA huko Mkuranga Pwani kwenye Harambe ya Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA.

Katibu Mkuu Dkt. Mashinji kwa niaba ya ofisi yake amechangia sh. 3,000,000 (milioni 3) cash kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga.

Jumla ya ahadi ya fedha katika harambee ya kuchangia ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga ni Tsh. 9,900,000

Pesa Taslim (Cash) 4,700,000
Vp Kuhusu agenda ya ufisadi mmemuachia Magufuli?

Ikumbukwe mlikimbia bunge LA katiba.
Mchakato uliobaki Kwa sana ni kura ya maoni ndipo tulipoishia, na hili Mwakyembe alikwisha toa ufafanuzi kitambo.
Chadema nataka kuwahakikishia Magufuli kawashika vibaya. Kila ngonjera mtaimba lakini wapi!

Mchakato Wa katiba ni baada ya kura ya maoni kupigwa, na matokeo ndo yataamua.
Hili pia litategemea uwezo Wa serikali kama ni kipaumbele chake Kwa sasa.
 
Ameagiza? duh nafikiri hii sio ishu ya kukaa ofisini na kuagiza, ni ishu ya kuzunguka na kuhimiza
Anyways mi jambo la muhimu kwa chadema nadhani wangekuwa wanapita kwa madiwani wao na mameya wabunge na kuwapa na kuwahimiza kufanya miradi ya maendeleo ili 2020 wawe na jambo la kuobyesha wananchi wao ni tofauti na ccm
Chadema na maendeleo ni.sawa na kulala na mama mkwe kitanda kimoja,wao ni kelele NA mambo ya kijinga tu
 
Vp Kuhusu agenda ya ufisadi mmemuachia Magufuli?

Ikumbukwe mlikimbia bunge LA katiba.
Mchakato uliobaki Kwa sana ni kura ya maoni ndipo tulipoishia, na hili Mwakyembe alikwisha toa ufafanuzi kitambo.
Chadema nataka kuwahakikishia Magufuli kawashika vibaya. Kila ngonjera mtaimba lakini wapi!

Mchakato Wa katiba ni baada ya kura ya maoni kupigwa, na matokeo ndo yataamua.
Hili pia litategemea uwezo Wa serikali kama ni kipaumbele chake Kwa sasa.
Lowasa wakitaja ufisadi anawafuta kazi
 
Chedema iliondoka na Dr SLAA limebaki genge kama lilokuwa ccm WENYEWE ni urais tu ,sasa hivi linapwayapwaya tu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
CHADEMA?! Mchakato wa katiba mpya!
Niwape ushauri, waanze na katiba yao ndani ya chama
Kwanza viongozi wawe na muda wa ukomo wa madaraka,
Na katiba yao iseme, mtu anajiunga leo kesho anakuwa mgombea urais
Na katiba yao iruhusu mwanachama kwenda mahakamani kama hakuridhika na maamuzi ya chama
Na katiba iwe wazi kuhusiana na ruzuku ya chama, siyo mwenyekiti anakidai chama kila siku
Baada ya hapo katiba ya watanzania tutaidai wote
Nawe rudi shule ujifunze kusoma ndio usome tena katiba ya chadema ndio urudi hapa
 
Ameagiza? duh nafikiri hii sio ishu ya kukaa ofisini na kuagiza, ni ishu ya kuzunguka na kuhimiza
Anyways mi jambo la muhimu kwa chadema nadhani wangekuwa wanapita kwa madiwani wao na mameya wabunge na kuwapa na kuwahimiza kufanya miradi ya maendeleo ili 2020 wawe na jambo la kuobyesha wananchi wao ni tofauti na ccm
Hawajitambui hao, wameparaganyika vibaya na bado
 
watafeli kama walivyofeli kwenye UKUTA! chama kimebakiza matamko tuu
Mkuu katiba bora si kwa ajiri ya chadema na wanachadema tu,ila ni kwa faida yako na kizazi chako pia,jaribuni sometime kutumia hata akili kidogo mliyoachiwa na ccm, msiitumie tu kuvukia Barbara na kupiga vigelegele
 
Chama dampo la mafisadi waongooo na wanafiki
 
Ili genge LA lowasa lilianzia ccm tu Mungu akalipiga fimbo ya kichwa sasa limeamia chadema hukohuko mungu atalipiga kichwa tena
 
Back
Top Bottom