Mungu aliumba vitu kwanza ndio akamalizia kumuumba mtu ….. (hii ni sala ya mtumishi leo Kigoma akifungua mkutano wa kampeni)
Mungu aliumba (si kutengenza) na wala hakutumia kodi za malaika
Kama ni kutumia hoja ya mungu na nyie tumieni hela zenu kwanza
Usufananishe mipango ya mungu na binaadam
Daah,mkuu! Unapinga nini na unashauri nini Yani?Mungu aliumba (si kutengenza) na wala hakutumia kodi za malaika
Kama ni kutumia hoja ya mungu na nyie tumieni hela zenu kwanza
Usufananishe mipango ya mungu na binaadam
Na Gari haiwezi kwenda huko bila, barabara na njia ya Treni, na hivyo Vyote ni, Vitu!!!
Sasa unapokataa vitu, unakataa maendeleo,
Taifa hili linawatu wa ajabu mpaka inaboa
Kwa hiyo JPM ni Mungu?Mungu aliumba vitu kwanza ndio akamalizia kumuumba mtu ….. (hii ni sala ya mtumishi leo Kigoma akifungua mkutano wa kampeni)
Big up...unatakiwa u-balance.
..maendeleo ya watu vs maendeleo ya vitu.
..ukizidisha upande mmoja, na kupunja upande wa pili, utaingia kwenye matatizo.
Wasaidie waeleze hayo. La sivyo inakula kwao mapema sana.
..unatakiwa u-balance.
..maendeleo ya watu vs maendeleo ya vitu.
..ukizidisha upande mmoja, na kupunja upande wa pili, utaingia kwenye matatizo.