CHADEMA kubadili gia angani kuhusu Sera ya maendeleo ya watu?

Umuhimu wa daraja ni kufupisha urefui wa kutowa huduma kwa wanachi wa eneo moja kwenda eneo lingine, daraja alinauwezo wa kumuongezea mtu kipato kama anaweza kupeleka bidha mara nyingi kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Mfano, bila daraja mtu anaingiza Tsh30,000 kwa siku, kukiwa na daraja anaingiza Tsh120,000 kwa siku, unafikiri huyo mtu atasema daraja ni jambo baya?
Nitafikiria kununua nguo mpya kama nimeshiba.
 
..unatakiwa u-balance.

..maendeleo ya watu vs maendeleo ya vitu.

..ukizidisha upande mmoja, na kupunja upande wa pili, utaingia kwenye matatizo.
Hata Mungu alipoumba dunia, alitanguliza kwanza miundombinu ndio akamalizia na binadamu ambaye alimuumba yeye pekee kwa siku nzima halafu akapumzika.
 
Chama kisichoweza hata kuhoji malipo hewa sh 50m anayojilipa mwenyekiti kwa mwezi kinawezaje kukuvusha?! Hali itakuwaje tukiwapa hazina ya taifa mafisi nyie!

..hivi unaamini cdm wamewazidi ccm kwa wizi na ufisadi?

..mbona nyie hamuulizi mwenyekiti wenu kuhusu wizi wa nyumba za serikali, na kilipo kivuko mkweche alichonunua?

..kati ya TL na Jpm yupi ni fisadi na umekwiba mali za nchi hii? yupi amesaini mikataba mibovu?
 
Wala elimu inayo takiwa si mechanics, ni ile ndogo tu inayo leta uwajibikaji wa pamoja
Sasa hiyo elimu ndogo imekoseka kutokana na daraja?

Kutumia 50 km kuzunguka na kutumia 3 km kuvuka juu ya daraja, ipi ni bora. Kutumia mafuta kwenye pantoni na vivuko au kuwa na daraja lisilochukiwa pesa ya maana, kipi ni bora?
 
Jenga hospitali watu wapate pesa waje kutibiwa,maana hakuna hospitali ya bure.
Jenga shule,wape watu hela walete watoto wao waje kusoma kwa sababu shuleni hawapewi mavazi

Jenga barabara,acha watu wapate hela kwa sababu hakuna magari ya bure ya hospitali
Maendeo ya vitu huenda sambasamba na maendeleo ya watu,vitu bila watu kuendelea ni kuongeza mzigo wa maumivu
Oyooooooooooo,piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
..hivi unaamini cdm wamewazidi ccm kwa wizi na ufisadi?

..mbona nyie hamuulizi mwenyekiti wenu kuhusu wizi wa nyumba za serikali, na kilipo kivuko mkweche alichonunua?

..kati ya TL na Jpm yupi ni fisadi na umekwiba mali za nchi hii? yupi amesaini mikataba mibovu?
Mangi unafurahisha. Tuwape nchi watu waliojiuza kama machangudoa kwa Lowasa 2015?
 
Sasa hiyo elimu ndogo imekoseka kutokana na daraja?

Kutumia 50 km kuzunguka na kutumia 3 km kuvuka juu ya daraja, ipi ni bora. Kutumia mafuta kwenye pantoni na vivuko au kuwa na daraja lisilochukiwa pesa ya maana, kipi ni bora?
Madaraja yana walinzi eti
 
Madhara aliyowaachia huko hayana fidia. Utajua hilo Novemba.

..Na damage anayofanya Jpm kwa ccm mtairekebisha vipi?

..hawa vijana wajinga wa mataga na uv-ccm wakija kushika hatamu chama kitasalimika?
 
Kutokana na mwenendo wa kampeni ulivyo sasa. Ni dhahili kwamba watu bado wanahitaji maendeleo ya vitu kwa sana. Watu wanahitaji Maji, Umeme, Barabara, Reli, Ndege n.k na sio maneno maneno.

Na kutokana na kampeni zinavyoenda CDM imewakuwa ikiacha wapenzi wake njia panda bila kuonyesha hasa nini itawafanyia toafuti na kuponda tu aliyoya yafanya Rais Magufuli. Mpenzi wa kawaida ya CHADEMA amesikika akisema kwamba wapenzi wa CHADEMA wana Kiu sana ya Maendeleo lakini kwa hakika Magufuli ndie mwenye kuleta maendeleo hayo na sio Maneno tu ya Lissu.

Na kutokana na vyanzo mbalimbali hadi sasa Lissu imebidi nae abadili kampeni zake na kuendelea kuahidi kujenga Reli(Rukwa), Kujenga Barabara lakini bado hajasema sawasawa.

Ikumbukwe kwamba watu wengi hasa wa kijijini wanataka maendelo ya vitu ikiwemo, shule za karibu, Maji, barabara. n.k.

Je, CHADEMA kinabadili gia angani?.

Ushauri.. CHADEMA futeni sera ya madini inasumbua huku mtaani.
Hizo huduma zote ulizotaja ukiacha kununua ndege, ni huduma muhimu kwa mwananchi na ni lazima mwananchi azipate regardless umemwahidi kwenye ilani au sio (Ni kama vile baba au mama kumpatia mtoto huduma za chakula na malazi).
Hivi unadhani Yale mabilioni yaliyopelekwa kununua ndege yangepelekwa kwenye kuboresha elimu au afya au maji hiyo ndio ina direct impact kwa mwananchi sasa hivi JPM angekuwa anatembelea ganda la ndizi, ila hizo ndege ni choo cha kike, na mnatumia nguvu kubwa sana kumnadi mgombea.
Lissu akiwapa black & white mnakimbilia anatukana, wakati nyie ndio mnaongoza kwa kumtukana humu. Jifunzeni kuukubali ukweli na kuchukulia kama changamoto, sababu matusi anayotukanwa Lissu japo bado anamaumivu ya kilichomtokea lakini mwanaume bado ni chuma na hatetereki na taarabu zenu.
 
Hizi siasa tu. Taifa lenye utalii halitakiwi kukosa ndege. Over.
 
Kama haumwelewi mwalimu Lissu, IQ yako ni bora ya kuku.

Back
Top Bottom