Unasahau kuwa, viongozi makini ni viongozi wanajenga kwaajili ya kizazi kijacho. Uking'ang'ania kuendeleza kizazi cha leo, kizazi kijacho watakuta nchi iliyo tupu na haina maana yoyote. Huwezi kujitoa muhanga kujenga ili Tanzania ya kesho iwe na neema kuliko ya leo, na huku unajaribu balance vitu, "Mtaka yote hukosa yote".
..watawala walioshindwa kuleta maendeleo ndiyo hutoa kisingizio cha kujenga kwa ajili ya kizazi kijacho.
..Watanzania wameshachoka na ahadi hewa za ccm, wanataka kuona maendeleo ktk kipindi hiki cha maisha yao.