Unasahau kuwa, viongozi makini ni viongozi wanajenga kwaajili ya kizazi kijacho. Uking'ang'ania kuendeleza kizazi cha leo, kizazi kijacho watakuta nchi iliyo tupu na haina maana yoyote. Huwezi kujitoa muhanga kujenga ili Tanzania ya kesho iwe na neema kuliko ya leo, na huku unajaribu balance vitu, "Mtaka yote hukosa yote".
..watawala walioshindwa kuleta maendeleo ndiyo hutoa kisingizio cha kujenga kwa ajili ya kizazi kijacho.
..Watanzania wameshachoka na ahadi hewa za ccm, wanataka kuona maendeleo ktk kipindi hiki cha maisha yao.
Sawa. Warumi wanamsemo unasema "Roma haikujengwa kwa siku moja". Sidhani kama kuna binadamu anaweza kutimiza kila kitu kwa kizazi kimoja. Sio CCm, sio Chadema.
Ninaomba unitajie jengo moja tu ambalo CCM wamelijenga kwa pesa YAO.Chadema ni Chama cha Demokrasia na maendeleo lakini toka kianzishwe na waaasisi hakina maendeleo yeyote hata jengo la makao makuu wako lile lile la kupanga lililolpangwa na waaasisi miaka 25 iliyopita hakuna maendeleo mapya hata la jengo la makao makuu
..unatakiwa u-balance.
..maendeleo ya watu vs maendeleo ya vitu.
..ukizidisha upande mmoja, na kupunja upande wa pili, utaingia kwenye matatizo.
maendeleo utayaona kuanzia mwakani magu akiwa chato Lisu akiwa ikuluChadema ni Chama cha Demokrasia na maendeleo lakini toka kianzishwe na waaasisi hakina maendeleo yeyote hata jengo la makao makuu wako lile lile la kupanga lililolpangwa na waaasisi miaka 25 iliyopita hakuna maendeleo mapya hata la jengo la makao makuu
..Unajua kuna mambo aliahidiwa Babu yangu wakati wa kampeni za Tanu. mambo hayohayo wamekuja kuahidiwa wazazi wangu, na sasa CCM inaniahidi mimi na wanangu.
..Na tumekuwa tukibadilisha Maraisi, na wabunge wa CCM, tukitumaini kwamba watajirekebisha na kutimiza ahadi hizo. This time tumeona tujaribu upande wa pili, labda CCM wakikaa benchi kidogo watakaporudi madarakani watakuwa na kasi mpya na ubunifu zaidi.
..CCM imekaa madarakani muda mrefu sana, kiasi kwamba imejenga mazoea na wananchi. Wamejisahau na kujiona wao ni zaidi ya nchi na wananchi.
Mimi nineshayaona Nina kituo cha mafuta eneo nilipo kulikuwa hakuna barabara ni madimbwi matupu kabisa sasa hivi daladala zinaanzia hapa karibu na kituo changu cha Mafuta baada ya Magufuli kuweka lami na kujenga kituo cha daladala hapa jirani na kituo changu Cha Mafuta bodaboda zinapaki hapa jirani mauzo yako juu ya mafuta ya kuuzia daladala na pikipiki na Nina restaurant nauza sana vyakula kuuzia wafanyakazi wa daladala ,machinga wa stendi na abiria maendeleo niyaona niyaone Mara ngapi? Magufuli keshaniletea Sina ya kusubirimaendeleo utayaona kuanzia mwakani magu akiwa chato Lisu akiwa ikulu
Ya chama chenu tu mumeshindwa pamoja na kupewa mabilioni ya ruzuku na michango ya wabunge na wafadhili binafsi kuwa pesa hizo fanyieni maamuzi wenyewe hamkufanya ya kujenga hata makao makuu mkatafuna pesa makao makuu hata mikoani na wilayani hamkupeleka hata Mia wezi nyiemaendeleo utayaona kuanzia mwakani magu akiwa chato Lisu akiwa ikulu
..Nauheshimu mtizamo wako na maamuzi yako ktk sanduku la kura.
..Lakini kama nilivyokwambia mimi ni mtu mzima, na nimeshuhudia tawala zote za Tanzania.
..Nimewa-experience maraisi wote toka Baba wa Taifa, mpaka sasa hivi John Pombe Magufuli.
..I have come to a conclusion kwamba CCM inabidi wakae pembeni. Mbele ya safari ninaweza kuwafikiria tena.
..It took me sometime kufikia hapa nilipofikia. Kuna kipindi nilichagua Raisi CCM, mbunge Upinzani. Kuna kipindi nilifanya vice-versa.
..Ila sasa niko ktk stage kwamba nataka Raisi, mbunge, na diwani, toka vyama mbadala, na CCM wakae pembeni waone makosa ya wenzao.
..It took me a while to get to this state of mind, na nina amani na maamuzi yangu. Naamini ninaitendea HAKI nchi yangu.
Jamii isoweza kulipa bili za maji, umeme,....unajenga daraja kisha kuajili walinzi wa kulilinda ili ulowalenga walitumie waikate vyuma na kuuza wapate kula yao.
Nimekuelewa na wala sina nia ya kubadilisha mawazo yako au uwamuzi wako, nilichokuwa najaribu kukieleza ni kuwa sio kama CCM pekee ndio chimbuko la matatizo ya Tanzania. Tumepitia kwenye mambo mengi na itachukuwa zaidi ya rais mmoja au utawalaa wa chama kimoja kitatua matatizo yetu. Ila sasa, nadhani unaelewa siasa zina pande mbili, moja ni kuongoza nchi na kutatua matatizo yanayoikabili nchi kwa mustakabali wa kizazi kijacho, na ya pili ni kupata ridhaa ya wananchi au kwa maneno mengine ni kuushinda uchaguzi. Japo kuwa una amini ni muda wa CCM kupisha wengine, lakini inaonekana CCM wameweza kuparfect huo mchezo wa kupata ridhaa ya wananchi. Maana kama isinge kuwa hivyo vyama vingine na vyeneywe vingeweza kupata hiyo ridhaa. Forget the rhetoric ya tume sio huru na CCM inasaidiawa kushika dola, Chama kama Chadema kinashiudwa even to do basic things like getting electable candidates, sort out its own finances, or even to knowing what i sin the mind of many Tanzanians. Vitu very simple.
Tuna jeshi kubwa sana la mijitu inayojiita misomi pasipo kuelimika. 2015 ni Lisu huyuhuyu aliyewaambia watanzania kwamba wamekodi firm ya kimataifa kuwasaidia kufanya utafifiti wa nini wapigakura wanahitaji.Ni ujinga kuponda Sera ya vitu,kwani bila jembe huwezi kwenda kulima, na uspolima hupati mazao na usipopata mazao huli
Hapo chanzo nini, (Vitu) ambacho ndio nyenzo ya kukufanya upate maendeleo, ambalo ndilo, Jembe, inamana hawataki tuwe na jembe, Tutalimalimaje sasa? Wanataka kutupa pesa au siyo?
Huwezi kufika Mwanza Kwa haraka bila kutumia usafiri wa, Gar, Treni n.k
Na Gari haiwezi kwenda huko bila, barabara na njia ya Treni, na hivyo Vyote ni, Vitu!!!
Sasa unapokataa vitu, unakataa maendeleo,
Taifa hili linawatu wa ajabu mpaka inaboa
Hao hawana sera kabisa sana sana wanabwabwaja tu.Kutokana na mwenendo wa kampeni ulivyo sasa. Ni dhahili kwamba watu bado wanahitaji maendeleo ya vitu kwa sana. Watu wanahitaji Maji, Umeme, Barabara, Reli, Ndege n.k na sio maneno maneno.
Na kutokana na kampeni zinavyoenda CDM imewakuwa ikiacha wapenzi wake njia panda bila kuonyesha hasa nini itawafanyia toafuti na kuponda tu aliyoya yafanya Rais Magufuli. Mpenzi wa kawaida ya CHADEMA amesikika akisema kwamba wapenzi wa CHADEMA wana Kiu sana ya Maendeleo lakini kwa hakika Magufuli ndie mwenye kuleta maendeleo hayo na sio Maneno tu ya Lissu.
Na kutokana na vyanzo mbalimbali hadi sasa Lissu imebidi nae abadili kampeni zake na kuendelea kuahidi kujenga Reli(Rukwa), Kujenga Barabara lakini bado hajasema sawasawa.
Ikumbukwe kwamba watu wengi hasa wa kijijini wanataka maendelo ya vitu ikiwemo, shule za karibu, Maji, barabara. n.k.
Je, CHADEMA kinabadili gia angani?.
Ushauri.. CHADEMA futeni sera ya madini inasumbua huku mtaani.
Chama kisichoweza hata kuhoji malipo hewa sh 50m anayojilipa mwenyekiti kwa mwezi kinawezaje kukuvusha?! Hali itakuwaje tukiwapa hazina ya taifa mafisi nyie!..hiyo ni experience yako na mimi naiheshimu.
..lakini mimi nina experience yangu ambayo ni tofauti.
..kwa maoni yangu, we have seen enough of ccm, sasa ni muda wa kuona vyama vingine kama vitatuvusha.
Swala ni kuwa usiminye haki za watu eti kwa kuwa unajenga miundombinu. Usijenge nyumba hadi ukashindisha familia yako njaa. Mbona uelewa rahisi tu huu?Ni ujinga kuponda Sera ya vitu,kwani bila jembe huwezi kwenda kulima, na uspolima hupati mazao na usipopata mazao huli
Hapo chanzo nini, (Vitu) ambacho ndio nyenzo ya kukufanya upate maendeleo, ambalo ndilo, Jembe, inamana hawataki tuwe na jembe, Tutalimalimaje sasa? Wanataka kutupa pesa au siyo?
Huwezi kufika Mwanza Kwa haraka bila kutumia usafiri wa, Gar, Treni n.k
Na Gari haiwezi kwenda huko bila, barabara na njia ya Treni, na hivyo Vyote ni, Vitu!!!
Sasa unapokataa vitu, unakataa maendeleo,
Taifa hili linawatu wa ajabu mpaka inaboa