CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.

Ahsante.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ina budget ya majanga katika wizara ya mambo ya ndani. Ilipotokea majanga kule Kagera raisi akachangisha watu pesa na mwisho wa siku hakuzifikisha kwa walengwa. Akaishia kuwakejeli.

Zile trillion 1.5 mpaka leo hazijulikani zimeenda wapi.

Acha tuchange tu hela ni zetu kama huna hela kojoa ulale.
 
Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.

Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu ngoja tupime upendo kwa wananchi ukoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom