Mimi nishawachangia yaaniWatanzania tumechanga kwa mapenzi ya chama chetu Chadema na Wala siyo chama kimeshindwa kulipa hiyo pesa. Kama mnaona wivu kunyweni sumu
Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.
Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm imekuwa ikitupora kwa nguvu kwa miaka mingi sana,acha wenye moyo watoe kwa hiyari,labda wewe ni mtotoYou may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Wanatumia nafasi vizuri.You may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.