Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Chad wakijichanganya Kama Act , Zitto Kabwe na Maalim Seif wajue imekula kwao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI njia sahihi katika kutafuta chumba cha kutumikia tuu. Katika siasa anaeokota joker ndie atakaye amua acheze wapi na wakati gani ?Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Hii kesi itafutiliwa mbali na mahakama kuu, mark my wordDar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Shida ni kwamba kesi hiyo itapigwa danadana weee na mambo mengine mengi yasiyofikirikaNi hatua nzuri,hiki ndio chama pekee makini cha upinzani kilichobaki Tanzania kwa sasa
Mambo ndiyo hayo. The last time nakumbuka tulikuwa na handwriting experts 7 tu nchini, sijuo kama bado wapo. Custodian wa letterheads ni JJMnyika Katibu Mkuu, akamatwe awe suspect number 1. Akimtaja muhusika yeye ndiye aws shahidi number wani.Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Hiyo habari ya Fomu namba 10 ni utaratibu wa ndani ya chama, NEC wanataka majina tu.Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Polisi kinachohusika na mambo ya Fraud kitapewa assignment ya kuthibitisha kama signature lalamikiwa ni ya John Mnyika kweli au imeghushiwa
Majibu yakiwa ni signature halisi basi Mchezo umekwisha na kina Halima wataenda Mahakamani kupinga kuvuliwa kwao uanachama kwa kuwa Mamlaka zimethibitisha ni signature halisi
Chadema wamekosea sana kuandika barua kwenda NEC kwa kuwa hakuna sehemu NEC imewajulisha kuwa walipokea barua toka kwao
Kazi hii ingefanyika kabla ya maamuzi ya Kikao cha Kamati kuu licha ya kwamba haiwezekani Wanawake 19 toka Mikoa tofauti wasafiri hadi Dodoma kwenda kuapishwa na hakuna Kiongozi hata mmoja wa Chadema alojua kinachofanyika.Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Mnajisumbua bure, mipango ilishakamilikaDar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
Mkuu,Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.
Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.
Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.
Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.
Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.
Mwananchi
CCM ndiyo imekufa sasa hivi wapinzani wanapambana na vyombo vya dola CCM iko mochwari kabisaaaaaChama kinaenda kufa.
mademu wenyewe wanademuka tuWanaume kukaa kushindana na mademu [emoji706][emoji706] badala ya kupambana na CCM itoke magogoni
CHADEMA wamekosea sana kusema wanaend mahakamani. Wanajua kabisa Mahakama sasa hivi sio huru. Mahakama hizi za CCM zitawageuzia kibao na itakuwa imekula kwao. Mark my wordsmademu wenyewe wanademuka tu
Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
Ndio ni maigizo, chama chenye mwansheria nguli Kama Lisu kuonyesha mapungufu haya ni maigizo.Kila kitu wewe unawaza ni movies braza? Basi lipe jina la movies katika zile Trillion 1.5 ambazo CAG alisema?
Acha tu wafanye hivyo lakini kwa upande wa Chadema watakuwa wamejivua lawanaShida ni kwamba kesi hiyo itapigwa danadana weee na mambo mengine mengi yasiyofikirika