Uchaguzi 2020 CHADEMA kufungua kesi kwa ajili ya kumtafuta aliyesaini Barua ya NEC inayohusu majina ya Viti Maalum

Chad wakijichanganya Kama Act , Zitto Kabwe na Maalim Seif wajue imekula kwao .
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
NI njia sahihi katika kutafuta chumba cha kutumikia tuu. Katika siasa anaeokota joker ndie atakaye amua acheze wapi na wakati gani ?

Tunaongeza gharama za uendeshaji Chama na kuchamba sana mkundu mwisho we tutashika mavi.

Mpaka sasa hivi tunajua nini kilifanyika? nani alisaini ? Ila tunataka kuweka bayana ili kila mtu na dunia yote wajue.

Mchakato wa wabunge wa Wanawake tutauweka ugumu if we fail to concord. ( concord -meaning agreements or harmony between people or groups.)

We need to move on, and ought to move on now.

KAMBAKU
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Hii kesi itafutiliwa mbali na mahakama kuu, mark my word
 
Mambo ndiyo hayo. The last time nakumbuka tulikuwa na handwriting experts 7 tu nchini, sijuo kama bado wapo. Custodian wa letterheads ni JJMnyika Katibu Mkuu, akamatwe awe suspect number 1. Akimtaja muhusika yeye ndiye aws shahidi number wani.
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Hiyo habari ya Fomu namba 10 ni utaratibu wa ndani ya chama, NEC wanataka majina tu.
 
Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Polisi kinachohusika na mambo ya Fraud kitapewa assignment ya kuthibitisha kama signature lalamikiwa ni ya John Mnyika kweli au imeghushiwa

Majibu yakiwa ni signature halisi basi Mchezo umekwisha na kina Halima wataenda Mahakamani kupinga kuvuliwa kwao uanachama kwa kuwa Mamlaka zimethibitisha ni signature halisi

Chadema wamekosea sana kuandika barua kwenda NEC kwa kuwa hakuna sehemu NEC imewajulisha kuwa walipokea barua toka kwao

Unaongea utoto gani we dogo? Hakuna mahali NEC imeajulisha kuwa walipokea barua toka kwao. Kwa hiyo spika amepata majina kutoka wapi?
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Kazi hii ingefanyika kabla ya maamuzi ya Kikao cha Kamati kuu licha ya kwamba haiwezekani Wanawake 19 toka Mikoa tofauti wasafiri hadi Dodoma kwenda kuapishwa na hakuna Kiongozi hata mmoja wa Chadema alojua kinachofanyika.
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Mnajisumbua bure, mipango ilishakamilika
 
Mkuu,

Are they filing a case to challenge a non-existent defaulter? This might be a guise phenomenon of the 21st century to surface on planet earth.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽 Akili kubwa hii na hilo ndilo litakalotokea kwa kujua sarakasi zao zitaungwa mkono na mteuzi wao.
Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
 
Inachofanya Chadema hata kama kesi itapigwa danadana ni kutaka kuthibitishia umma na wadau wengineo kuwa hao wabunge waitwao wachadema haiwatambui kwa hiyo wasijetumika kuhalalisha kuwa na wao Chadema wameamua kushirikiana na CCM na serikali kwa namna yoyote ile
 
Kila kitu wewe unawaza ni movies braza? Basi lipe jina la movies katika zile Trillion 1.5 ambazo CAG alisema?
Ndio ni maigizo, chama chenye mwansheria nguli Kama Lisu kuonyesha mapungufu haya ni maigizo.
Kwanza walipaswa kuunda tume kuchunguza, waandae mashtaka au tuhuma na kuwataka wajieleze.. baadaye maelezo yao ndio yawape hoja au haja ya kuwaita kamati kuu..
Ile tune ilipaswa kuchunguza yafuatayo;
√ Fomu husika walizipata wapi?
√ Nani alikuwa akiwasiliana na Tume kwa niaba ya Chama.
√ Nani alisaini fomu kwa niaba ya Chama
√ Muhuri wa chama uliotumika ni halisi Kama ndio ulipatikana vip.
√ Michakato wa kupatikana hao 19 ulifanyika vip
√ Je michakato huo ulijulikana kwa viongozi wa chama
√ Kama Chama kilikuwa na msimamo wa kutoshiriki kwa nini hakikutoa msimamo wake kwa maandishi kwa Time hata baada ya Tume kuwakumbusha kupeleka orodha.

Maswali haya yalioaswa kuwa dondoo kwa Kamati ya maadili kubaini undani wa sakata na wahusika wote.
Ukiacha procedure hizo move yote inaonekana ni maigizo kwa sababu Katiba ya chama inasema migogoro ya ndani ya chama utaamuliwa na vikao na mwanachama harusiwi kukipeleka chama mahakamani...hii ndio sababu Zitto alifukuzwa... AJABU leo chama kinataka kwenda mahakamani wakati chenyewe kimezuia WANACHAMA wake wasikishitaki
 
Back
Top Bottom