Uchaguzi 2020 CHADEMA kufungua kesi kwa ajili ya kumtafuta aliyesaini Barua ya NEC inayohusu majina ya Viti Maalum

Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usipoangalia mahakama itatoa uamuzi kama ule wa kesi ya Lissu, mnakumbuka Jaji Matupa alivyoipiga chini ile kesi ?
 
Wanaume kukaa kushindana na mademu [emoji706][emoji706] badala ya kupambana na CCM itoke magogoni
Umekaa jikoni unasubiri ugali huku unachati, ingia ulingoni ukapambane tukuone...
 
Poteza muda strategy....
kdm.jpg
 
Wanaume kukaa kushindana na mademu [emoji706][emoji706] badala ya kupambana na CCM itoke magogoni
We kweli kibwengo ,mgetaka wanaume wapambane na CCM msingewaibia kura halafu mkutane bungeni
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Watapewa! Ila
serikali imeshikwa pabaya

Wajinga ndio waliwao! Hyo kesi kuisha ni 2025 chadema wanajua kila kitu.
 
Kwa mtizimo wangu mie naona ni afadhali wale waliofukuzwa uanachama ndio wao waende mahakamani kupinga kufukuzwa kwao kuliko chama kutangulia huko.
Moja ni kwamba mahakama hazipo huru kwa sasa hasa hasa kesi za kisiasa upepo ni mbaya sii tu kwa mahakama ila kwa vyombo vyote vya dola.
Pili ni kwamba wale walioteuliwa watabaki kuwa halali mpaka hapo mahakama itakapothibitisha kwamba sahihi zile ni za kugushi. Sasa ni lini mahakama itathibitisha? Inaweza kuwa haraka kama jibu ni za ahusika wenyewe ila kama jibu ni vinginevyo hukumu itatoka 2025 November.
 
Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Polisi kinachohusika na mambo ya Fraud kitapewa assignment ya kuthibitisha kama signature lalamikiwa ni ya John Mnyika kweli au imeghushiwa

Majibu yakiwa ni signature halisi basi Mchezo umekwisha na kina Halima wataenda Mahakamani kupinga kuvuliwa kwao uanachama kwa kuwa Mamlaka zimethibitisha ni signature halisi

Chadema wamekosea sana kuandika barua kwenda NEC kwa kuwa hakuna sehemu NEC imewajulisha kuwa walipokea barua toka kwao
Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Yes. We need to know. NEC will tell the court who did it. This will be the end of the controversy.
 
Good move katika kujitakasa. Sasa subiria sarakasi zitakazopigwa na Tume ya Uchaguzi. Hakuna nakala wala nini watakachokipata toka tume.
sarakasi hizo za TUME FEKI zitasaidia CDM kusonga mbele kutokana na tumeFEKI kusita kutoa ushahidi huo wakijua ni wao wenyewe ndio wamecheza sinema hiyo. hivo CDM waelekee mahakani kupata ufafanuzi kihaki ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Viongozi wa chadema mnatukosea sana wanachama wenu.
Mkobize kufanya upumbavu kuliko kukupigania chama kosonge mbele
 
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.

Chama hicho kilistahili kupata wabunge wa viti maalum kutokana na kupata idadi ya kura za wabunge inayozidi asilimia tano, lakini kinadai hakukuwa na kikao kilichopitisha majina ya wanachama na kupeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya uteuzi.

Lakini Noveemba 24, makada 19 walijitokeza viwanja vya Bunge na kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu katika utaratibu mpya unaomruhusu Spika kufanya kazi hiyo bila ya kuwepo na mkutano wa chombo hicho cha kutunga sheria, kitendo kilichosababisha Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana Novemba 27 kuamua kuwavua uanachama.

Pamoja na kustahili viti hivyo, Chadema ilishatangaza kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, ikidai kwamba uchaguzi huo ulitawaliwa na ukiukwaji wa sheria na taratibu.

Mkurugenzi wa itikadi, uenezi, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema alisema mchakato huo unaendelea na tayari katibu mkuu wa chama hicho, John Mnyika ameiandikia barua NEC.

Katika barua hiyo kwa NEC, alisema Chadema inataka kupatiwa nakala ya barua iliyowasilisha majina pamoja na fomu namba 8D ambazo katibu mkuu anatakiwa kujaza ili ijulikane aliyeijaza na hivyo aunganishwe kwenye kesi hiyo.

Mwananchi
Shida Yao ni nn Tena?

Ubunge hawataki, wakina halima tayari wamefukuzwa Sasa mahangaiko ya kumaliza ela kwa ajili ya kufungua kesi ya kazi gani Tena?

Kati ya vitu chadema walichemka ni kumpa ukatibu mkuu Mnyika
 
Back
Top Bottom