Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Hapo kwenye forensic umechanganya, ninavyojua forensic investigation lazima cyber ihusike.anayejua zaid atueleze
Hapana siyo lazima cyber ihusike ila kwa kiswahili ni Uchunguzi wa Kitaalamu ambao unaweza kutumika Mahakamani kama ushahidi Wakati Forensic Accounting ni Ukaguzi wa Mahesabu wa Kitaalamu na wala si lazima ufike mahakamani.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.

Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Kwa jinsi CCM inavyoweweseka kwa CHADEMA lolote laweza tokea.
 
Imeniuma Sana Kwa Chadema kuuwawa bila maandalizi ya kuuwawa, ni kama masihala vile
 
Hebu Jiwe kifute the ubebwe Kama jenerali Noriega USA battalion ipo jirani tu wakunhooshe maana wana hamu kweli na wewe.
 
Back
Top Bottom