Huyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......
Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......
Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........
Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!
Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!