Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Ikiwezekana kifutwe tu ni uchafu tu unaoendelea humo Sacco's ya DJ makengeza kula michango ya wabunge kuzini na viti maalumu wabunge wawili wa kike wanasagana laana juu ya laana
Umavuta bangi? Mbona unayo yaandika ni kama umevuta bangi?
 
Chadema ilishajifuta yenyewe tayari October wakipata hata mbunge mmoja wakatambike!
maisha yako yanategemea isani ya mtawala upotayali kumuua mwenzio upewe kibaba cha unga
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.

Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Labda Mutungi ajifute yeye na taasisi yake na sio CDM.
 
Watu Wa kitengo wanahangaika Na msajili kuhakikisha wanatafuta mwanya Wa kudelete chadema huku vyama goigoi vikiachwa kama Tlp huku NCCR ikipatiwa nyenzo ya kununua wanachama Wa chadema.watawala wanakosa imani Na chadema
 
Tofautisha Auditing na Forensic Investigation! Auditing anaangalia utaratibu kama umefuatwa ama la wakati Forensic Investigation wanaangalia fraud kama imefanyika.
Hapo kwenye forensic umechanganya, ninavyojua forensic investigation lazima cyber ihusike.anayejua zaid atueleze
 
Watu Wa kitengo wanahangaika Na msajili kuhakikisha wanatafuta mwanya Wa kudelete chadema huku vyama goigoi vikiachwa kama Tlp huku NCCR ikipatiwa nyenzo ya kununua wanachama Wa chadema.watawala wanakosa imani Na chadema
Inasikitisha sana sana..Hawa jamaa wamekuwa watu wa hovyo mnoo..
 
Jiwe lile jitu ni laana na linakubalika miongoni mwa mashetani wenzake tu.
 
Wewe ni mpumbavu sana.kumbe upo hapa na hasira za kuminywa wizi wenu?mimi sina chama we mwanamke isipokua naujua ukweli shenzi type we.na mminywe hivyo hivyo mmesha tuibia sana wananchi pumbavu zako,ukiona nchi haikufai hama uondoke..kumbe we ni jizi,maana hakuna mtumishi wa kweli akapingana na Magufuli juu ya jitihada alizonazo kuikomboa nchi kiuchumi,sasa nyie ndo mlio tusababisha tuwe hivi shenzi ungekua karibu ningekupiga hata na mwichi mgongoni,wewe utakua ni kati ya wale mliofungiwa mirija ya kutuibia na sasa mna hasira utadhani mlikua na haki ya kutuibia sisi..una bahati uko jf sikuoni kwa macho
pumbavu sana kwahiyo kila anayepinga huu utawala wa kiuni ni mwizi? pole sana kwa ujinga.
 
Chadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Mimi mwenyewe nashangaa sana kuona ccm inapambana na chama ambacho kilijifuta. Huu ni uzuzu. Chadema ilishajifia. Kwann ccm kila kukicha inahangaika na chama mfu?
 
Back
Top Bottom